Ambiere, nani alikwambia kodi zetu zinajenga barabara? Sisi wananchi hatuwezi fwatilia wala wawajibisha mafisadi na hela zetu kwaio sisi labda hio FUNDED BY TANZANIAN PEOPLE iandikwe kwenye matumbo ya hawa mafisadi, magorofa yao, na magari yao ya kifahari.Mbona hizi zinazojengwa kwa kodi zetu haziandikwi FUNDED BY TANZANIA PEOPLE?
Hayo mabango yametapakaa nchi nzima.
Mbona hizi zinazojengwa kwa kodi zetu haziandikwi FUNDED BY TANZANIA PEOPLE?
Kaka ni Castle lite au Castle Laga!
Ambiere, nani alikwambia kodi zetu zinajenga barabara? Sisi wananchi hatuwezi fwatilia wala wawajibisha mafisadi na hela zetu kwaio sisi labda hio FUNDED BY TANZANIAN PEOPLE iandikwe kwenye matumbo ya hawa mafisadi, magorofa yao, na magari yao ya kifahari.
Tumbo kama lile la Wassira ilibidi liwe na tattoo inayosema FUNDED BY POOR TANZANIAN PEOPLE.
KWA SABABU WATAZITUMIA WAO,NA UKIZINGATIA NDIO WALIOTOA FEDHA ILI WAJENGEWE,ILI WATAKAPO KUJA WASIPATE TAABU YA KUULIZAULIZA,SOMETIMES WATA DRIVE YOU KNOW WITH THEIR FAMILIES.:embarrassed:kumbe ndio maana wanaandika kidhungu eh!!!!!???
wanalima nini huko mbona kukame sana duh..
kule waliona fura ya uranium,my ndugu hizi barabara wanajenga kwa faida yao sio faida yetumengine yapo barabara ya songea namtumbo kama haya!!