Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
Wahenga walisema debe tupu haliachi kuvuma.
 
Kampuni wapi? Wewe njaaa kali. Una uwezo wa kufungua kampuni ulaya au marekani. Wabongo maneno mengi sana ndio, hawo wakina mengi wenyewe hawajafungua kampuni uko ulaya
Omba kazi upewe.
Screenshot_20170829-225940(1).jpg
Screenshot_20171206-132626.jpg
 
Tumefungua Tawi La ccm sweden na luna wanachana wengi wana scandinavia wengi sana .watanzania wote wa nchi za Sweden,Norway,Finland,Danmank.
eti Watanzania wote..mnajua kujitekenya nyie watu
 
Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
watu wente kampuni wanakuwaga na hekima ila ww ni kinyume chake
 
Back
Top Bottom