Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

Sihitaji cheo wewe.nina kampuni kubwa sana inafanya vizuri nchi za Uk,uarabuni..na ujue mimi siyo nina njaa kama wewe kenge wewe.

Ungekuwa nayo usingesema. Tunawajua watu kama wewe. Hamtusumbui!
 
Sihitaji cheo wewe.nina kampuni kubwa sana inafanya vizuri nchi za Uk,uarabuni..na ujue mimi siyo nina njaa kama wewe kenge wewe.
Kampuni wapi? Wewe njaaa kali. Una uwezo wa kufungua kampuni ulaya au marekani. Wabongo maneno mengi sana ndio, hawo wakina mengi wenyewe hawajafungua kampuni uko ulaya
 
CCM Washington ndio waliotoa kontena 36 za furniture and electronics kwa campaign ya makonda ya kujenga office za walimu zilizofika jana.

Chadomo ndio mnatakiwa mjiulize yale matawi yenu huko marekani yalifiaga wapi?
Hahaha hivyo unataka kusema ile pesa aliyochangisha Makibda ameshaiiba?! Inaonyesha ccm washington wameleta kilakitu.
 
Sihitaji cheo wewe.nina kampuni kubwa sana inafanya vizuri nchi za Uk,uarabuni..na ujue mimi siyo nina njaa kama wewe kenge wewe.
Kampuni ya kutawaza maajuza ?hebu wahi kaoshe vyombo subway
 
Back
Top Bottom