Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

Mafwi Munda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
1,750
Reaction score
1,604
Huko Nyuma nililikuwa nasikia viongozi wakienda kufungua mashina na matawi huko Ulaya na Marekani, je yalikuwa ya msimu tu nini mbona siku hizi hawafungui hayo mashina na matawi huko ughaibuni?!
 
Tumefungua Tawi La ccm sweden na luna wanachana wengi wana scandinavia wengi sana .watanzania wote wa nchi za Sweden,Norway,Finland,Danmank.
 
Sasa hivi hakuna ahadi za vyeo ukirudi Tz Kama enzi za mkwere!
 
Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
 
Tumefungua Tawi La ccm sweden na luna wanachana wengi wana scandinavia wengi sana .watanzania wote wa nchi za Sweden,Norway,Finland,Danmank.
Hahaha safi sana. Hivyo nanyi huko ni Kazi tu
 
CCM Washington ndio waliotoa kontena 36 za furniture and electronics kwa campaign ya makonda ya kujenga office za walimu zilizofika jana.

Chadomo ndio mnatakiwa mjiulize yale matawi yenu huko marekani yalifiaga wapi?
 
Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
kijikampuni cha ufundi chuma.... hata miezi 12 hakina ushaanza kelele.Unatujua sisi?ungekaa kimya maana utahitaji kututafuta hapa hapa Uk kuomba kazi.Ndio tatizo la watu wa mikoa ileeeeeeeeeeeee ya kishamba shamba wakipata...............hata UK yeneyewe uko kwa shemeji yako....na kijikampuni hata website hakina hakina.......kazi kuvizia directory za watu.KENGE KENGE KENGE KENGE,akili za kenge hizi.
 
Huko Nyuma nililikuwa nasikia viongozi wakienda kufungua mashina na matawi huko Ulaya na Marekani, je yalikuwa ya msimu tu nini mbona siku hizi hawafungui hayo mashina na matawi huko ughaibuni?!
Mbona huulizi matawi ya chadema. Bado yanafunguliwa huko ughaibuni?
 
Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
Unauza used
 
kijikampuni cha ufundi chuma.... hata miezi 12 hakina ushaanza kelele.Unatujua sisi?ungekaa kimya maana utahitaji kututafuta hapa hapa Uk kuomba kazi.Ndio tatizo la watu wa mikoa ileeeeeeeeeeeee ya kishamba shamba wakipata...............hata UK yeneyewe uko kwa shemeji yako....na kijikampuni hata website hakina hakina.......kazi kuvizia directory za watu.KENGE KENGE KENGE KENGE,akili za kenge hizi.
Mwenyewe sijui kama si mjamaica
 
Huko Nyuma nililikuwa nasikia viongozi wakienda kufungua mashina na matawi huko Ulaya na Marekani, je yalikuwa ya msimu tu nini mbona siku hizi hawafungui hayo mashina na matawi huko ughaibuni?!
Walikuwa wachumia tumbo tu. Uchumu unaanguka unadhani wanaoathirika ni akina mbowe tu, hata mafisadi hawapati cha kuiba now.
 
Back
Top Bottom