Yale magari marefu kwa harusi.

fmlyimo

JF-Expert Member
May 4, 2012
324
198
Wandugu, nataka kukodi LIMOUSINE kwa ajili ya harusi. Je, yanapatikana wapi? Na bei yake kwa siku ni shilingi ngapi?
 
Wandugu, nataka kukodi kwa ajili ya harusi. Je, yanapatikana wapi? Na bei yake kwa siku ni shilingi ngapi?

Yapo kwa kina Janguo, sheikh Yahaya na hata car rentals! SERIOUSLY!!! Bei maelewano, mjini hapa, ukiingia kichwa kichwa unapigwaa! Kuyapata ingia Harusi yangu blog then kuna directory mule ucheki kama bado wapo listed. Ila hao watu maarufu kuwapata sio shida kabisa!!!
 
Asante ndugu yangu. Ngoja nifungue hiyo blog nitafute namba zao za simu.
 
Kijana taratibu tafuta hata noah itakufaa, usije ukakodi hiyo limousine kwa ghalama kubwa halafu baada ya mwezi mmoja ukaishiwa. ni kweli kila mtu anapenda harusi yake iwe ya mfano but am telling you kama hela zipo kodi hata ndege ikupeleke visiwa vya Caribbean lkn kama ndo izo za kuunga unga angalia usitoke honeymoon na kuanza kupiga mizinga watu
 
Wazo zuri sana ndugu. Ila kuna jamaa amejitolea kama mchango wake. Ni vigumu sana kumwambia anipe pesa alafu mimi nikafanya makaratee mengine.
 
Kama ni hivo wewe kakodi haina jinsi ndugu yangu maana hapo hakuna ujanja tena, but also kuna sehemu naona wanakodisha ma BMW na Benz za maharusi nzuri sana pale flat za National house mbele kidogo ya kituo cha daladala cha Big Brother. In case kama hiyo limousine itakuwa imeshakwishabookiwa wewe kacheki hizo BMW na Benz maeneo hayo.Nakutakia ndoa njema na yenye mafanikio na Mungu akufanikishe. Just to share the meaning of neno NDOA.
N= Nyumbani

D=Daima

O=Ombeni
A=Amani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom