Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 545
- 1,076
๐๐๐Umenusa harufu ya wigi au ulimkuta anaupaa?
Ukubwa Jalala MkuuNdio umejua leo
Utqpeli huo Wa Waziwazi๐Mna shida sana wazee wa Mawigi.
Huu si mwaka 1970s ,Ww umeshachelewa , ndui dunia mpya, unaa chaguo moja tu ukubaliane na hali au uachwe nyumaJina urembo limeficha utapeli Na wizi wa wazi wazi, kwanini uwe na Taswira 2 ukivaa na kuvua wigi?
Serikali iingilie kati uingizwaji nchini wa urembo bandia, yaani nywele juu ya nywele, nyusi juu ya nyusi, kucha juu ya kucha. Mnaona haitoshi saivi ni makebo juu ya kebo.
UTAPELI TU๐
Muwe Natural Mtapendeza zaidiMawigi hoyeeeeee!
Kwanini Mkuu?Unachekesha sana
Inasikitisha SanaHuu si mwaka 1970s ,Ww umeshachelewa , ndui dunia mpya, unaa chaguo moja tu ukubaliane na hali au uachwe nyuma
Utachagua ww
Naunga Mkono Hoja๐Asilimia 98 ya wanawake wanaovaa mawigi yananuka na hawapendezi
Natural achia misitu.Muwe Natural Mtapendeza zaidi
๐๐๐Natural achia misitu.