Yakulalia

wala hatuvai cheni kwa kuonea aibu shanga na wengine hatuvai ili kumfurahisha wanaume maana ukivaa kwa ajili ya mtu/watu utaishia kubaki dilemma, wengine wanapenda wengine hawapendi. nyie wanaume hata mvaliwe tunguli kama kuchepuka mtachepuka tu. tunaopenda cheni tunajua raha yake.
 

hahaha, kumbe unavaa cheni kwa ajili ya nini wakati muda wote imefichwa?!!..tuibie siri kidogo mkuu.
 
hahaha, kumbe unavaa cheni kwa ajili ya nini wakati muda wote imefichwa?!!..tuibie siri kidogo mkuu.

kwahiyo wewe vilivyofichwa huvai? nna wasiwasi utakuwa huvai ch.upi.
 

Hii mi sioni maana yake na binafsi sipendi..ukivaa naona ka mwanamke wa kiswahili. Utakuta mwanamke kavaa halafu amekaa kwenye gari zinaonekana..sana akiinama. Haipendizi hata kidogo. Napenda mwanamke aliyevaa hereni na mkufu kwa sana. na wala siyo ile ya kuvaa mguuni sioni kama ina tofauti na shanga.
 
Shanga zinaboa sana, labda sijui jinsi ya kuzitumia
 
wanawake wa siku hizi bwana!!! et uchafu! na cheni ndo c uchafu kaaa,full kuharibikiwa.Me ukivaa cheni kiunoni ndo SITAKI unisogelee kabisa TOKAAAAA.Ila aliyevaa shanga ndo nitamwelewa kwa sababu yupo kiafrika zaidi.
 
Uvae au usivae bao zangu zipo pale pale!Hazipungui sababu haujavaa wala haziongezeki sababu umevaa!!

Got it?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…