Ktk jukwaa hili la mapenzi na Mahusiano hebu niambieni au nifunzeni...
Shanga zilee za kiunoni zinamaana gani?
Mbona baadhi ya wanaume ukivaa anakutimua nazo anakuwa hataki kabisa anakuona km changu.
Ila wengine wanazitaka na wakikuona umevaa shanga mkononi anakuuliza kiutani huku anatabasamu na huko ni hivyo hivyo...akimaanisha anazipenda..
Nashindwa kuwaelewaaa!!
kesho utapost nini bibi
Shanga ndio nini?
illuh kakukosea nini asee? eeeh....
Mimi ni mmoja Wao ambapo hayo madubwasha siyapendi na yananipa kichefu chefu.
Sijawahi kuichukulia jamiiforums kama sehemu ya maisha bali ni sehemu ya starehe hawezi kunikwaza mtu
Utakuwa mchaga... Yaani hapo huchomoki...
Umeona wapi Mhyao akazichukia..??? We wa kishumundu tu
Ukiona hvyo anafuga vhuzi....zikinasia ni hasara kwake.
achana na mashanga utakuwa kama mganga wa kienyeji. tupia kicheni chako kiunoni mambo safi. tena kama ni mweupe kama hiyo avatar yako ukipata hata english gold utanoga sana shosti.