YaKufowardiwa:

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Mtaalamu wa keki aliambiwa atengeneze keki ya harusi kisha aandike juu
1 YOHANA 4:18 lakini akakosea kidogo akaandika
YOHANA 4:18.
Badala ya kuandika 1YOHANA 4:18 inayosema "Ktk pendo hamna hofu,lkn pendo lililo kamili huitupa nje hofu,kwa maana hofu ina adhabu". Yeye akaandika YOHANA 4:18 isemayo "Kwa maana umekuwa na wanaume watano, naye uliye nae sasa siye mume wako." Maharusi walipofika nyumbani na kufungua BIBLIA ili wasome neno la juu ya keki toka YOHANA 4:18. Walipofungua BIBLIA muda huo huo mirindimo ya kipigo ikaanza kusikika.
 
Kwa nn hawakumtafuta mtengenezaji wa keki kwanza kumuuliza kama ndo alivyopewa maagizo aandike hvyo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…