Fedha ni za IPTL na si za TANESCO,serikali iliagiza fedha zilipwe kwa IPTL wakati Escrow ilikuwa A/C ya pamoja iliyotokana na mgogoro wa mtaji halisi uliowekezwa na IPTL???,kesi ya mgogoro wa ukokotoaji wa malipo halisi kutoka TANESCO kwenda IPTL mrejesho wake mbona hatuhujui?
PAP ndiyo mmiliki halali wa IPTL baada ya kununua hisa za IPTL,mbona hatujaona cheti cha ununuzi wa hisa kutoka Mechmar (70% of shares, equity owner) by PAP?.Na lile deni la IPTL Standard Chartered HongKong atalipa nani vile?,Pia inasemekana kuwa migogoro yote kati ya IPTL na TANESCO itatatuliwa na chombo binafsi ambacho ni nje ya mahakama zetu,sasa maamuzi ya Ndugu Mtukufu Mhe.Jaji Utamwa yana uhalali gani katika mkataba wa IPTL vs TANESCO?Sawa Baba tumekusikia ila hatujakuelewa kajipange upya,kwa niaba ya watanzania wapenda haki nasema"Nitaendelea kuheshimu na kulinda uhuru wako wa kutoa maoni kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa(Agano la kale) ila nayapinga maoni yako yasiyokuwa na mashiko".KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI KWANI NI FIKRA SAHIHI..