Natamani Jamii forum iwe na watu wenye Strong argument kama wewe
Rushwa imeisha?Hawa Majaji wakiwa na njaa ni hatari sana katika utoahi HAKI.
Mi naona posho zinawafaa au waongezewe kidogo.
Jaji uchwaraKumbe ww ni jaji sikujua.
Alale mahali anapostahili kulalaJaji mkuu Augustino Ramadhani alitaka kugombea hadi urais. Ulikuwa bado hujajua kutumia mitandao ya kijamii.
OkayMhimili wenye maslahi duni kabisa
Sasa majaji wanashindwa nn kufanya biashara?Hela haijawahi kutoshea ndio sababu akina Bakhresa wanazidi kuitafuta Kila siku
Wanafanya sana biashara ila hawajaweka wazi waziSasa majaji wanashindwa nn kufanya biashara?
Mbona Jaji Mkuu amesema wanapata stahiki kiduchu sana. Kwahiyo unamkosoa Jaji Mkuu?Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Kuu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.
NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?
**Naambatanisha na Sheria husika
Kwa hiyo hawali rushwa?Mleta mada mwanga wewe tafuta hela
Acha kuoneq wivu wengine
Na wewe nenda kawe jaji basi
Una roho mbaya ya kimaskini hupendi wengine wapate
Una ushahidi wa jaji yeyote kupokea rushwa? Nenda kashtaki Takukuru
Majaji hawafanyi biasharaSasa majaji wanashindwa nn kufanya biashara?
Kufa KufaanaMajaji wanataka zaidi ya haya. Majaji kweli wamekosa uzalendo