Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

Watu wanachukua rushwa kwasababu watu waliowazunguka ni masikin sana wanahtaji msaada. Familia ndugu uliosoma nao nk nk. Labda kizaz cha tatu baada ya kufanikiwa kama mo dewji lakin kama wewe ndio wa kwanza kutoka huko kwenu hiz mambo ni nadra kukwepa. Ni sawa na mbunge wanapata hela nyingi lakin akili zetu watz za kijamaa muda wote tunashida na tushaamua watu wa kuzitatua ni serikali hatuko tayar kutumia akili zetu kuzitatua. Sasa serikali ikiingia mitini ndio tunalokotwa na akina mwamposa kiulaini. Wabunge wanakimbiq kukaa majimboni kwasababu wenye shida kila siku wapo nyumbn kumletea shida.
Inaitwa SOCIAL SIN
 
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.

1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.

NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?

**Naambatanisha na Sheria husika
Wala rushwa Tz ni wale wanaolipwa parefu
 
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.

1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.

NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?

**Naambatanisha na Sheria husika
Mleta mada mwanga wewe tafuta hela

Acha kuoneq wivu wengine

Na wewe nenda kawe jaji basi

Una roho mbaya ya kimaskini hupendi wengine wapate

Una ushahidi wa jaji yeyote kupokea rushwa? Nenda kashtaki Takukuru
 
Watu wanachukua rushwa kwasababu watu waliowazunguka ni masikin sana wanahtaji msaada. Familia ndugu uliosoma nao nk nk. Labda kizaz cha tatu baada ya kufanikiwa kama mo dewji lakin kama wewe ndio wa kwanza kutoka huko kwenu hiz mambo ni nadra kukwepa. Ni sawa na mbunge wanapata hela nyingi lakin akili zetu watz za kijamaa muda wote tunashida na tushaamua watu wa kuzitatua ni serikali hatuko tayar kutumia akili zetu kuzitatua. Sasa serikali ikiingia mitini ndio tunalokotwa na akina mwamposa kiulaini. Wabunge wanakimbiq kukaa majimboni kwasababu wenye shida kila siku wapo nyumbn kumletea shida.
Shida ni mifumo ovu iliyowekwa na watawala, mfano serikali inashindwa nini kuweka/kulipa wana sheria wawili kila Wilaya kwenye vituo vya polisi na mahakama wa kusaidia wananchi na ubambikaji wa kesi za polisi + dhamana? lakini ipo tayari kulipa wasanii na matapeli wengine kusifia mama kwa mabilioni
 
Hawa Majaji wakiwa na njaa ni hatari sana katika utoahi HAKI.

Mi naona posho zinawafaa au waongezewe kidogo.
 
Hivi kuna tofauti gani ya jaji na hakimu ! Ni swala la elimu au kupanda cheo ?
 
Shida ni mifumo ovu iliyowekwa na watawala, mfano serikali inashindwa nini kuweka/kulipa wana sheria wawili kila Wilaya kwenye vituo vya polisi na mahakama wa kusaidia wananchi na ubambikaji wa kesi za polisi + dhamana? lakini ipo tayari kulipa wasanii na matapeli wengine kusifia mama kwa mabilioni
Hakuna wa kulaumiwa maana serikali ni zao la jamii yenyewe. Jamii yenyewe isipochukua hatua hakuna mabadiliko
 
Hivi kuna tofauti gani ya jaji na hakimu ! Ni swala la elimu au kupanda cheo ?
Majaji wanateuliwa na rais ila mahakimu wanaajiriwa kama nafasi zingine na serikali...ila mahakimu mishahara Yao ni midogo sana mpaka wanazidiwa na walimu kwa basic salary...
NB:wao rushwa ndo inawasaidia
 
Ooho kumbe majaji ni wateule wa Boss asee !! Ndo maana mkate wao mnono tu
 
Back
Top Bottom