General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,301
- 23,025
Kisukari??
Mimba na ujauzito sio ugonjwa mkuu...5/Vifo vitokanavyo na uzazi
Kuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa
Kilichomtokea mke mdogo wa Mzee Yusuf juzijuzi hapa kila mtu anakijua...inasikitisha sana
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana na huduma mbovu za afya na elimu duni ya masuala ya uzazi
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 milioni hufariki kila mwaka jumla ni vifo 3+ milioni
Haaahaaa....long live jfNikuulize ww maana hakuna sehemu nimeandika haugui
Sukari ipo namba ngapi? Maana naona kama unatufariji tunaouguza watu wenye sukari,japo kweli nilisoma kuwa collabo ya sukari na presha ndiyo deadly,
hiyo picha ya ukimwi ni ya mwaka 1990+ to-! Sikuhizi waathirika wa ukimwi ndiyo wanaoongoza kwa kupambana na umaskini na maradhi,wanakufa wasio waathirika kwa kutojali ila waathirika hawajisahau hata chembe! Wapo bize kujilinda huku wakikusanya noti!
Nipe dada zako nianze nao kwanzaNakushauri fanya ngono kwa bidii uoate Ukimwi
Mkuu usiudharau huu ugonjwaIle ya kuhara bora ungeutoa coz ni ugonjwa wa msimu pia ni ugonjwa wa watu maskini especially africans
Hata Malaria ni kwa Nchi za kitropiki tu Ulaya hakunaIle ya kuhara bora ungeutoa coz ni ugonjwa wa msimu pia ni ugonjwa wa watu maskini especially africans