SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,863
Labda alikusudia VitzIST? Mkuu uko serious Kweli
Labda alikusudia VitzIST? Mkuu uko serious Kweli
we jamaa umekosea njiaLamborghini
Oh sorry mkuu 1lt kwa 16km, samahani mkuu.Labda ulitaka kumanisha nini hapa! 1 km = 16 Lt? Au Mimi sielewi?!!!?
Katika list yote hapo gari ambalo lina tatizo kubwa ni Freelander na tatizo lake ni Gasket na kuchemsha hasa kwa nchi zetu za joto kaliFreelander ina tatizo gani coz kuna mtu nimeshamlipa nusu bado nusu ili nichukue kitu.
Anaiuza 12M mi nilimwambia achukue 10 akakubali ila anasema engine ndo inashida but kanambia kuwa inaweza patikana for less than 2M.
Kumbe na vile vigali ni mishipa eeeh!! Dah nmeokoa hela yanguOngezea Mitsubishi Pajero Mini!
Ni RVR a.k.a kichen patiRVR au CVR sikumbuki vizuri, lakini zilikuwa zinaitwa kitchen party
Unamiliki aina ipi ya Mazda mkuu.?!Mazda gari za hovyo kabisa
Achana na maneno ya mtaani. Xtrail bonge ya gariKumbe xtrail nayo kimeo? Maana hii gari ndio nilikuwa naipenda kumbe nayo kimeo
Aliekwambieni kama ubovu wa gari unapimwa kwafundi kushindwa kutengeza nani?Labda kuna ukweli ama la, but mafundi wetu wengi wenye ufundi wa kurithi toka kwa mjomba, sijui after std7 basi anashinda gereji after few years ni fundi, basi kitu ikimshinda anaanza gari mbovu, haifai, rumors zinatapakaa, jamani mafundi wetu muende shule, gari nyingi sasa hivi ni so electric mda sio mrefu wachina ndo watakua mafundi wetu
Izo gari zilikuja mpya wanajeshi walikopeshwa miaka ya nyuma ivi,so haikuja mtumba so kukaa miaka 20 ni kawaida sana kwa gari iliyonunuliwa 0 kmKama ndio HV Tanzania hatuwezi kupata mtumba wa Gari. MTU anakaa na Gari miaka 20!!! Hongera kwa kutunza chombo
Passo sio gari za kununuapasso
Gari za ccm