mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,182
Huyo mchezaji tajiri umepata wapi takwimu zake Mkuu
Huyo bwana mdogo kazaliwa USA na amekulia kule lini amekuwa Raia wa Brunei
Mkuu ni kweli nenda upitie vizuri ametokea huko kwenye hyo royal family ya BruneiHuyo mchezaji tajiri umepata wapi takwimu zake Mkuu
Huyo bwana mdogo kazaliwa USA na amekulia kule lini amekuwa tajiri?
Japo ni kweli ana uraia wa Nchi mbili