Yajue haya kuhusu nchi ya Marekani

Yajue haya kuhusu nchi ya Marekani

Vya kuongezea ni kwamba waruhusu bangi na wanarusu kutoa mimba au hata kujua mtoto aloetoka kuzaliwa na kugubdulika ana matatizo
California kama cjakosema kuna kipindi waliruhusu bangi.

Siwezi shangaa hzo sheria kuwepo au kuruhusiwa maana kunasheria zngn utasema basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjakuelewa!! Swali kwanini una chuki dhidi ya watu weusi? Maana kwa maelezo yako hpo juu inaonekana una chuki na watu weusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nmeeleweka.kifupi sina chuki na watu weusi.
Maelezo hayo yasikupe shida ndo kama nilivyokutolea mfano wa yanga.hivi ukianza kuongelea ubovu wa yanga utasema hyo ni chuki.ila ajabu yanga ikiwa inacheza na barcelona utashabikia yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi makanisa na misikiti Ipo? Na Wao wameridhia Hizo Ndoa.....
 
Makanisa na misikiti yapo.kuna maeneo mengine ndoa hizo zipo mpaka kanisani

ila ukiangalia sana serkali ya marekani inawaamn sana wakristo kuliko waislam.na ndugu zangu waislam hawana nguvu kwenye serekali ya marekani kama ilivyo kanisa. kwaiyo waislam hawana nguvu ya kupinga.

Ndomana wengi wanapenda kuingia marekani kutumia kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7.SOCIAL SECURITY
embu maelezezo kiundani ufanyaji wake wa kazi
Ina kazi nyingi ila kifupi tu inarekodi mwenendo wa maisha yako.mfano nchini marekani una sifa tena ya kuajiriwa hata huende wapi huwezi kupewa ajira rekodi yako ya kutokuwa na sifa ya kuajira itakuwa inajisoma na hawawezi kupa ajira.mfano mwngn.umefanya kosa umeamia sehemu nyngn ila kadi inatambua mahali ulpo pale tu utakapotaka kuajiriwa au kufanya chochotr kuhusu hyo kadi ina kazi nyingi kifupi inakutambulisha ulipo,sifa...

Kuna mfano kadi ya mkopo.uwezi pewa mkopo usipokuwa na hiyo kadi na ukienda kukopa lazima watakuomba kadi na kampuni husika atajua nani na nai anaekudahi,unadahiwa sh ngapi na atajua kama wewe n mlipaji mzuri wa mikopo au mzingua na vile vile atajua kama kuna mkopo haijalipa

NB;marekani ni nchi ya vitambulisho kuna kadi za aina nyingi hata kadi ya chakula hpo,kadi ya usafi na zinafanya kazi tofauti na africa inaweza kuwepo lakini ufanyakaz wake mdogo au waliozo nazo watu wazito tu.yaan mara chache utumia pesa mkononi

Utakuwa umenielewa hta kwa kifup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello JF MEMBERS jioni ya leo nimeamua kutajia mambo kadha kuhusu marekani.Marekani ni nchi ya kwanza kiuchumi na kijeshi na ya tatu kwa ukubwa duniani
Leo nataka ujue BAADHI ya sheria na utamaduni nchini marekani nitagusia mambo kadhaa ili upime au ulinganishe na nchi yako.

1.marekani mwanafunzi ndo huamua somo atakalosoma kwa kipindi husika na sio kupangiwa na mwalimu na anawezakwenda shuleni kwa muda wowote anaotaka

2.nchini marekani namba za ngari utumika kwa nyuma tu na si lazima huweke na mbele.magari karibia yote yana PLT N nyuma tu.

3.matumizi ya simu utumika kwa mwezi kununua kifurushi unachotaka na ndicho utakachokuwa unalipia kla mwezi ila unaweza kubadilisha kiasi cha pesa na ukaendelea tena kulipia kwa mwezi.

4.kuweka muziki kwa sauti kubwa ndani ya nyumba au unaongea kwa sauti inawezakuwa hata kutembea kwa kishindoni tatizo Jirani yako anaweza kupiga simu police au kumuita police kuwa unapiga kelele.(unaweza hata kufunguliwa mashitaka au kufukuzwa kwenye nyumba,ni bora upige mziki mkubwa kwenye gari)

5.kila raia nchini marekani ana namba ya dharura ya police(police akipigiwa cm dakka tu yupo mlangoni kwako).

6.kitambulisho cha ID kinamuwezesha mgeni kuishi marekani ndani ya mwaka mmoja

7.SOCIAL SECURITY CARD inakutambulisha popote ulipo nchini marekani.(mfano TZ niko mwanza nikifanya kosa nahamia sehemu nyingine basi nakuwa salama.lakini marekani sio hivyo bado unajidanganya,popote ulipo unajulikana).

7.marekani kuna utamaduni wa kumpokea mgeni wako kwa ua(ndugu,rafiki,jamaa una muda hujakutana nae na amekuja marekani utaenda umebeba ua utakalompa.

8.muislam haruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja licha ya dini kuruhusu wake wanne,(kama wewe ni muislam itabidi tu uwe mpole).

19.awali marekani ilikuwa muungano wa majimbo 13 na ndio mistari 13 ya bendera.

10.ushoga marekani utambulika na wanafunga ndoa kama mume na mke

11.marekani ni taifa lenye watu wenye asili ya nchi mbali mbali ila ni raia wa marekani.

12.unaweza kutembea marekani nzima bila ya kuelekezwa na mtu au kwenda sehemu usihoijua na ukafika mradi tu ujue jina la sehemu unayoenda.(mfano niko msoma nataka niende kumtembelea ndugu yangu dae ntaenda na kufika bila kuelekezwa mpaka mlangoni kwake bila kuelekezwa)

13.africa tunafrika kwamba wazungu ni watu wabaya sana ila nchini marekani ni bora uwe na rafiki wa kizungu kuliko black na black wanajifanya wanajua sana kuliko watu wote na ni wabaya sana.

14.marekani kuna mitandao ya wanawake wanajiuza mtandaoni.ukimtaka mmoja kwa picha unaweza kumpigia simu na kumpa anuani ya nyumbani atakufuata utafanya yako pesa yake unampa anasepa zake.

15.wasichana nchini marekani huwa na .maboyfriend na sio kuwa na swala la mume tofauti na kwetu africa anataka basi umdangae nitakuoa

15.nchini marekani ndege ni kama mwendo kasi na hakuna ushamba wa kupanda ndege.(TZ ndege zinawenyewe ila marekani hilo wamelisahau kabisa)

16.nchi zetu za africa bado tunaangaika vijana kupata ajira ila nchini marekani ajira inaangaika kutafuta wafanyakazi.kwaiyo usishangae nchini marekani mtu akakuambia anafanya kazi 4 kwa siku (swala kama hilo nchini marekani naisi ndomana kila mtu anapenda kuja kufanya kazi marekani.

17.kila gari ina bima na ukiwa barabarani jaribu kuipa nafasi kubwa gari ilioko mbele yako.nchini marekani ukikwaruza kidogo tu gari la mwingine jua bima ya gari lako itausika kumnunulia gari lingine hapo kwako itakuwa ni kilio.(kuna tabia baadhi ya watu wanayo,akiona unamsongelea sana na uko kasi anashika breki fasta ili ukwaruze alafu anakuambia sitaki gari.hapo anamaanisha nyingine inunuliwe)

18.nchi marekani usishangae kuona mtoto wa miaka 13 akiendesha gari au kumilika gari au magari(TZ hayupo kabisa na ukiwa na gari basi inaaminika kuwa una pesa na mademu wa tz wanamshombokea sana mwenye gari ukiwa na gari utawapata wengi)

19.nchi marekani ni vizuri mwanamke akakupenda kuliko wewe kumtongoza maana ukifanya hivyo uweza kujisababishia matatizo,(sio wote) na bora awe mzungu kuliko mweusi.ukiwa unasikia kesi za wanawake kubakwa huwa ni ishu kama hizi alafu kwa takwimu zangu zisizo rasmi wanawake weusi wanaongoza.
Na wanawake nchini marekani akikupenda jua umepndwa kweli na wanawivu wa kuua usiombe akakufumania .(ila sina maana wanaume huwa hawawatamkii wanawake kuwa wanawapenda)

20.marekni unaruhusiwa kumuadhibu mtoto bila kumpiga na unapomuazibu zingatia sheria .(huruhusiwi kumpiga mtoto

N.B: hayo ni baadhi katika mengi sana .na hapo sina maana baadhi hapo africa hazipo inawezakuwepo ila uzingatiaji wake ni mdogo sana na nimetolea mfano kwa tanzania kwasababu tanzania ndo nchi ninayoifaamu sana na nimeishi sana

Swali unaruhusiwa ila kwa ufupi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam,jee luninga visimbuzi kama bongo malipo yakoje? Umeme na maji gharama zikoje huko? Mavazi bei zikoje mfano jeans ya kawaida mpya tsh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shukrani kututoa tongotongo.
Vip kuhusu suala la Mazishi namna ya kupata nafasi ya maziko hali ikoje huko
 
Ina kazi nyingi ila kifupi tu inarekodi mwenendo wa maisha yako.mfano nchini marekani una sifa tena ya kuajiriwa hata huende wapi huwezi kupewa ajira rekodi yako ya kutokuwa na sifa ya kuajira itakuwa inajisoma na hawawezi kupa ajira.mfano mwngn.umefanya kosa umeamia sehemu nyngn ila kadi inatambua mahali ulpo pale tu utakapotaka kuajiriwa au kufanya chochotr kuhusu hyo kadi ina kazi nyingi kifupi inakutambulisha ulipo,sifa...

Kuna mfano kadi ya mkopo.uwezi pewa mkopo usipokuwa na hiyo kadi na ukienda kukopa lazima watakuomba kadi na kampuni husika atajua nani na nai anaekudahi,unadahiwa sh ngapi na atajua kama wewe n mlipaji mzuri wa mikopo au mzingua na vile vile atajua kama kuna mkopo haijalipa

NB;marekani ni nchi ya vitambulisho kuna kadi za aina nyingi hata kadi ya chakula hpo,kadi ya usafi na zinafanya kazi tofauti na africa inaweza kuwepo lakini ufanyakaz wake mdogo au waliozo nazo watu wazito tu.yaan mara chache utumia pesa mkononi

Utakuwa umenielewa hta kwa kifup

Sent using Jamii Forums mobile app

nimekuelewa mkuu
👏
 
KUna mtu kasema mleta mada yupo hukohuko usa
Niakiangalia kiswahili chake ninawasiwasi naye nikama yupo musoma vijiji vya ndani ndani kule
ha ha ha ha ha
hiii ndio tz banaaa
 
Marekani huwezi miliki gari bila bima
Mm mwenyewe nishawahi kufanya kazi mara 3 kwa siku moja.
Mtandao huo hupo na leo tulikuwa tunabshana na mwenzangu eti kuna mdada wa kikongo anajiuza.tumeangalia hupo kwel.kama unabsha sema nkutumie hiyo tovuti

Naongea nnachokijua
Sheria inasema lazima uwe na bima lakini wengi tu huendesha bila ya bima, angalia P.D Friday utanifahamu. Mtandao wa craigslist au black page.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Labda wewe ndo ujaelewa. Yeye kasema "usishangae kumkuta dgo wa miaka 13 akiendesha gari" sawa ni illegal kama ulivyosema lakin ni kawaida kwa watoto kama hao Ku drive apo USA..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Tz mbona mtoto wa sisters wangu anaendesha na yupo 12 tu. Nishamuona dogo USA ana miaka 7 anaendesha gari na alikuwa anafukuzwa na polisi. Polisi hakumpata dogo mpaka alifika kwao na kupark gari mwela alishangaa kumuona dogo. Lakini kisheria 16 ndio inaruhusu chini ya hapo illegal.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Miaka 7?[emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello JF MEMBERS jioni ya leo nimeamua kutajia mambo kadha kuhusu marekani.Marekani ni nchi ya kwanza kiuchumi na kijeshi na ya tatu kwa ukubwa duniani
Leo nataka ujue BAADHI ya sheria na utamaduni nchini marekani nitagusia mambo kadhaa ili upime au ulinganishe na nchi yako.

1.marekani mwanafunzi ndo huamua somo atakalosoma kwa kipindi husika na sio kupangiwa na mwalimu na anawezakwenda shuleni kwa muda wowote anaotaka

2.nchini marekani namba za ngari utumika kwa nyuma tu na si lazima huweke na mbele.magari karibia yote yana PLT N nyuma tu.

3.matumizi ya simu utumika kwa mwezi kununua kifurushi unachotaka na ndicho utakachokuwa unalipia kla mwezi ila unaweza kubadilisha kiasi cha pesa na ukaendelea tena kulipia kwa mwezi.

4.kuweka muziki kwa sauti kubwa ndani ya nyumba au unaongea kwa sauti inawezakuwa hata kutembea kwa kishindoni tatizo Jirani yako anaweza kupiga simu police au kumuita police kuwa unapiga kelele.(unaweza hata kufunguliwa mashitaka au kufukuzwa kwenye nyumba,ni bora upige mziki mkubwa kwenye gari)

5.kila raia nchini marekani ana namba ya dharura ya police(police akipigiwa cm dakka tu yupo mlangoni kwako).

6.kitambulisho cha ID kinamuwezesha mgeni kuishi marekani ndani ya mwaka mmoja

7.SOCIAL SECURITY CARD inakutambulisha popote ulipo nchini marekani.(mfano TZ niko mwanza nikifanya kosa nahamia sehemu nyingine basi nakuwa salama.lakini marekani sio hivyo bado unajidanganya,popote ulipo unajulikana).

7.marekani kuna utamaduni wa kumpokea mgeni wako kwa ua(ndugu,rafiki,jamaa una muda hujakutana nae na amekuja marekani utaenda umebeba ua utakalompa.

8.muislam haruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja licha ya dini kuruhusu wake wanne,(kama wewe ni muislam itabidi tu uwe mpole).

19.awali marekani ilikuwa muungano wa majimbo 13 na ndio mistari 13 ya bendera.

10.ushoga marekani utambulika na wanafunga ndoa kama mume na mke

11.marekani ni taifa lenye watu wenye asili ya nchi mbali mbali ila ni raia wa marekani.

12.unaweza kutembea marekani nzima bila ya kuelekezwa na mtu au kwenda sehemu usihoijua na ukafika mradi tu ujue jina la sehemu unayoenda.(mfano niko msoma nataka niende kumtembelea ndugu yangu dae ntaenda na kufika bila kuelekezwa mpaka mlangoni kwake bila kuelekezwa)

13.africa tunafrika kwamba wazungu ni watu wabaya sana ila nchini marekani ni bora uwe na rafiki wa kizungu kuliko black na black wanajifanya wanajua sana kuliko watu wote na ni wabaya sana.

14.marekani kuna mitandao ya wanawake wanajiuza mtandaoni.ukimtaka mmoja kwa picha unaweza kumpigia simu na kumpa anuani ya nyumbani atakufuata utafanya yako pesa yake unampa anasepa zake.

15.wasichana nchini marekani huwa na .maboyfriend na sio kuwa na swala la mume tofauti na kwetu africa anataka basi umdangae nitakuoa

15.nchini marekani ndege ni kama mwendo kasi na hakuna ushamba wa kupanda ndege.(TZ ndege zinawenyewe ila marekani hilo wamelisahau kabisa)

16.nchi zetu za africa bado tunaangaika vijana kupata ajira ila nchini marekani ajira inaangaika kutafuta wafanyakazi.kwaiyo usishangae nchini marekani mtu akakuambia anafanya kazi 4 kwa siku (swala kama hilo nchini marekani naisi ndomana kila mtu anapenda kuja kufanya kazi marekani.

17.kila gari ina bima na ukiwa barabarani jaribu kuipa nafasi kubwa gari ilioko mbele yako.nchini marekani ukikwaruza kidogo tu gari la mwingine jua bima ya gari lako itausika kumnunulia gari lingine hapo kwako itakuwa ni kilio.(kuna tabia baadhi ya watu wanayo,akiona unamsongelea sana na uko kasi anashika breki fasta ili ukwaruze alafu anakuambia sitaki gari.hapo anamaanisha nyingine inunuliwe)

18.nchi marekani usishangae kuona mtoto wa miaka 13 akiendesha gari au kumilika gari au magari(TZ hayupo kabisa na ukiwa na gari basi inaaminika kuwa una pesa na mademu wa tz wanamshombokea sana mwenye gari ukiwa na gari utawapata wengi)

19.nchi marekani ni vizuri mwanamke akakupenda kuliko wewe kumtongoza maana ukifanya hivyo uweza kujisababishia matatizo,(sio wote) na bora awe mzungu kuliko mweusi.ukiwa unasikia kesi za wanawake kubakwa huwa ni ishu kama hizi alafu kwa takwimu zangu zisizo rasmi wanawake weusi wanaongoza.
Na wanawake nchini marekani akikupenda jua umepndwa kweli na wanawivu wa kuua usiombe akakufumania .(ila sina maana wanaume huwa hawawatamkii wanawake kuwa wanawapenda)

20.marekni unaruhusiwa kumuadhibu mtoto bila kumpiga na unapomuazibu zingatia sheria .(huruhusiwi kumpiga mtoto

N.B: hayo ni baadhi katika mengi sana .na hapo sina maana baadhi hapo africa hazipo inawezakuwepo ila uzingatiaji wake ni mdogo sana na nimetolea mfano kwa tanzania kwasababu tanzania ndo nchi ninayoifaamu sana na nimeishi sana

Swali unaruhusiwa ila kwa ufupi..

Sent using Jamii Forums mobile app
9. Na vp kuhusu zile nyota 50 kwenye bendera yao? Sio kwamba mistari 13 inawakilisha makoloni 13 yaliyopata uhuru kutoka kwa Mwingereza?
13. Rekebisha hiyo afrika tunafrika isilete tafairi mbaya kwa wenye macho.

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
N majimbo 13 ya awali yaliopgania uhuru sulphate uhuru

Nyota ndo inawakilisha majimbo.majimbo huwa 50 ndo maana ya zile nyota 50
 
Back
Top Bottom