Namba 4 hyo sheria mbona hata huku ipo so usiwaone marekan ndio wa kwanza hata huku ni kosa kupiga muziki kwa sauti kubwa maeneo ya makazi... na ukitoa taarifa polisi hufika na kutoa onyo au kukamata kabisa (na wanavyopenda hela)
namba 7 umedanganya.... kumbuka kule kuna state laws na kuna federal laws.....
unaweza kuendelea kuwa safe from mikono ya sheria kama ulifanya kosa ambalo ni kosa under this state law na sio kosa under that state law kwa kuhamia kwenye hyo state
hautakuwa safe ndani ya marekani nzima if only kosa ulilofanya linaangukia under federal law
kama unaishi kweli marekani utakuwa umeelewa na kujua umekosea wapi katika uandishi wako
Namba 14 sio tu marekani hata hapa bongo kuna mitandao ya escort service kama EXOTIC TANZANIA ni hela yako tu unaingia unachagua unayemtaka mnakubaliana bei anakuja hadi kwako/sehemu mliyokubaliana so usishangae ukafikir ni marekan pekee
Namba 18 pia umedanganya a legal age for driving in USA avarage ni 16 yrs ..
lakini south dakota pekee ndio ni 14 na miezi 6 na kuna majimbo kama new jersey wenyewe wanaanza kuendesha na miaka 17
na bado kuna mijadala mizito kufanya legal age for driving iwe ni 18 ndani ya marekani
sasa sijui ww ndugu yangu miaka 13 umeona wapi wanaendesha magari...
hayo mambo uliyoandika ni mepesi mno next time jaribu kuandika mambo ambayo kweli watu hawayajui
huyo ndugu yako aliyopo USA mwambie aache kukulisha matango poli
Sent using
Jamii Forums mobile app