Liwalo liwe. Afadhali maumivu ya muda mfupi kuliko utumwa wa miaka nenda rudi chini ya dikteta Jaameh --quote Wagambia.Ndio yaleyalee, tofauti wenzao walicheza na kura tu. Wagambia wanaikimbia nchi yao kwa wingi sasa hivi kuhofia machafuko maana jeshi liko upande wa dikteta