technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,692
- 58,734
Hakuna cha timing ni maamuzi tu vyovyote unafanya? Kwani huyu wa kwetu huku zanzibar kafanyaje? Unafanya unavojiskia kuonesha ubabe wakoAlikosea timing wenzake wanaibia kwenye sanduku la kura..
Hapo ndo penye shuhuli yenyeweTatizo ni kuwa jeshi la nchi hiyo linatambua uwepo wake kama rais
Na ndo maana anajigamba kwa sababu jeshi ndo kila kitu katika nchi yoyoteHapo ndo penye shuhuli yenyewe
Alikosea timing wenzake wanaibia kwenye sanduku la kura..
Sio kaamua kufa kiume. Yeye na Museveni hawana utofauti. Aliingia madarakani kwa mapinduzi (mtutu), anataka kutolewa kwa mapinduzi (mtutu). Ndio siri kubwa ya madikteta kote ulimwenguni. Kamwe hawaamini katika boksi la kura.Naona kaamua kufa kiume.