Kwa nini wanamuita dikiteita? Aliua sana alipopindua nchi na kuingia madarakani!Kwani kuna watu kawaua?
Kwa nini wanamuita dikiteita? Aliua sana alipopindua nchi na kuingia madarakani!Kwani kuna watu kawaua?
Haaahaaa!!! Nimeona mseven povu linakutoka kwenye ukurasa wake wa tweter amesema Gambia ni nchi huru si vema kuivamia kijeshi!!
na ile migari yake ya kifahari aliyopanga kuondoka nayo apigwa mdada sasa...atakufa masikini kama alivyoingia madarakani...Ukisikia sikio la kufa halisikii dawa ndo hii sasa unapewa fursa ya kuishi salama hutaki.
Haaahaaa!!! Nimeona mseven povu linakutoka kwenye ukurasa wake wa tweter amesema Gambia ni nchi huru si vema kuivamia kijeshi!!
Haha...kwahiyo hizo raha zinadumu mileleHivi unaijua raha iliyo pale ikulu? yaani ni sawa na ofice ndogo ya peponi
Kuna raha zake pale asikuambie mtu
Hilo jeshi litaungwa mkono na marais wapi akati zaidi ya nusu hawana mpango wa kuachia madaraka kwa demokrasia...labda jeshi la AUNdio tuna haja ya Afrika Mashariki tuwe na jeshi maalum la pamoja kwa issue kama hixo haiwezekani ung'ang'ane tu
Kwakweli...Kuna mtego hapo. Soon utaskia HABARI ILIOVUNJIKA!