Yahya Jammeh akataa kuachia uongozi Gambia

Yahya Jammeh akataa kuachia uongozi Gambia

Na huyu wa Gambia yatamkuta kama yaliyo mkuta Rais wa Ivory Coast Gbabgo mwaka 2001 na cjui hakumbuki huyu maan yakiwatokea haya mambo wanakuwa wanadhalilika sn hadi unaihis roho ya huruma kwao
 
Screenshot_20170119-093254.png
Screenshot_20170119-093310.png
 
Jamiiforums nayo imtume mwandishi wa kujitegemea PASKALI Mayala kwa gharama zetu apande boti na kuvuka bahari kwenda mahali fulani na kumhoji mkuu wa huko nini msimamo wake kuhusu sakata la Gambia"
Ni mawazo yangu tuu, nimewaza kwa sauti.

Mkuu uchochezi
 
UPDATES:::

[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Rais mteule wa Gambia Adama Barrow amesema kuwa sherehe za uapisho wake zitafanyika katika ubalozi wa Gambia uliopo Dakar nchini Senegal.
Barrow ametoa taarifa hiyo leo kupitia ukurasa wake wa Twitter,hii ikiwa ni baada ya Rais aliyoko madarakani Yahya Jammeh kugoma kuachia madaraka.
 
Halafu mtu anakuja anasema ooh tupo sawa muafrika ana akili sawa na whites. Ukweli ni mchungu ila ndo ukweli, waafrika hatuna akili na tuna laana.
 
Halafu mtu anakuja anasema ooh tupo sawa muafrika ana akili sawa na whites. Ukweli ni mchungu ila ndo ukweli, waafrika hatuna akili na tuna laana.
Safari ni ndefu
 
Back
Top Bottom