Umenikumbusha mchungaji mmoja mwaka 2010 alikuja kwa mzee Wangu apate dawa za mvuto na kuwa na nguvu ktk kanisa lake tena alikuja na wanasiasa 2 ni maalufu sana hapa mjini basi mzee wangu akawambia kazi zao zote zinafanyika usiku maeneo ya makabulini kunduchi ilipofika usiku wa saa sita tukaenda wote nikiwemo na Mimi mwenyewe basi kufika makabulini ikanyunyizwa dawa kwenye makabuli 2 ya dini yake yakasemwa maneno flani pale ya lugha maalum Mara yakafunguka ukatoka moto mkubwa sana ukiambatana na radi nusra jamaa wakimbie basi tukaona watu wanatoka mle na kuuliza kwa lugha ileile aliyoongea mzee wangu akawatajia Shida za wale jamaa wote watatu wakaambiwa wavue nguo pale pale wasogee basi wakafanya kama walivyoelekezwa na wale watu wakaanza na yule mchungaji kwa nguvu alizokuwa anataka akapewa ila kwa makubaliano maalumu na wale wengine ambao mmoja ni mbunge maarufu wa upinzani na mwingine sasa ni wazili wakafanyiwa vile walivyoomba kazi ikawa imekwisha mchungaji ana kanisa bagamoyo road linajaza huwa nawaonea huluma waumini mana wana abudu wasichokijua na nikikutana nae nikumtania mana najua nguvu sio ya mungu yeye huniambia namshukulu malehemu mzee wako nisingekuwa tajiri kama sio yeye
Nevertheless, you comprehend my argument. If what you said is true, why are you changing your own thread? Paul used VITAMBAA KWENYE BIBLIA. John used Water kwenye Biblia, why are you against what you preach?
Unapingana nao kwa kutumia aya zipi?Bado nashindwa kuelewa kwanini unapingana nami! Kwanza sijabadili heading bali nilikusahihisha wewe , pili sipingani na Bible bali napingana na mafundisho ya watu wanaoojiita manabii na mitume wa siku hizi jaribu kuelewa ninachoongelea
Matthew 7:1-3King James Version (KJV)Bado nashindwa kuelewa kwanini unapingana nami! Kwanza sijabadili heading bali nilikusahihisha wewe , pili sipingani na Bible bali napingana na mafundisho ya watu wanaoojiita manabii na mitume wa siku hizi jaribu kuelewa ninachoongelea
Unapingana nao kwa kutumia aya zipi?
False accusation
Wewe mtani wangu acha tu,
Wapo watu hata leo hii wanaamini kuwa wakienda
kwa gwajima mfu wao atafufuka.
Hata wasomi wazuri wa Biblia usishangae unapoambiwa
kuwa wakifiwa wanapeleka maiti huko ili ikafufuliwe,
cha ajabu ni kwamba wanarudi na mfu wao.
Hili la mapepo, hawa wahubiri huwa wanatumia mbinu moja
anapokuwekea mikono anakupush nyuma kiasi kama hauna
balance ni lazima utaanguka tu.
Na ndiyo maana akina mama wengi ndio wanaanguka
si hatuna nguvu sana.
So, those are just opinions and not facts. I need facts.Yeah!! Opinions of the same situation differs from one person to another.
You are still supporting not your claims with verses but empty words.Wewe unafikiri wako sahihi? Umekariri vifungu vingi vya Bible naamini umesoma vema habari za manabii wa uongo kama huzifahamu basi kuna shida mahali
Na tazama nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo watakuwa na uwezo na kuponya na kufufua wafu watatenda miujiza kwa jina langu watakuwa na uwezo hata wa kuhamisha milima LAKINI MSIWAAMINI HAO
na waumini kufa njaa kuwaambia waende kanisani jumatatu mpaka ijumaa aiseee kama moto upo nitweka kuni zangu aisee
You are still supporting not your claims with verses but empty words.
Unapingana nao kwa kutumia aya zipi?
Umenikumbusha mchungaji mmoja mwaka 2010 alikuja kwa mzee Wangu apate dawa za mvuto na kuwa na nguvu ktk kanisa lake tena alikuja na wanasiasa 2 ni maalufu sana hapa mjini basi mzee wangu akawambia kazi zao zote zinafanyika usiku maeneo ya makabulini kunduchi ilipofika usiku wa saa sita tukaenda wote nikiwemo na Mimi mwenyewe basi kufika makabulini ikanyunyizwa dawa kwenye makabuli 2 ya dini yake yakasemwa maneno flani pale ya lugha maalum Mara yakafunguka ukatoka moto mkubwa sana ukiambatana na radi nusra jamaa wakimbie basi tukaona watu wanatoka mle na kuuliza kwa lugha ileile aliyoongea mzee wangu akawatajia Shida za wale jamaa wote watatu wakaambiwa wavue nguo pale pale wasogee basi wakafanya kama walivyoelekezwa na wale watu wakaanza na yule mchungaji kwa nguvu alizokuwa anataka akapewa ila kwa makubaliano maalumu na wale wengine ambao mmoja ni mbunge maarufu wa upinzani na mwingine sasa ni wazili wakafanyiwa vile walivyoomba kazi ikawa imekwisha mchungaji ana kanisa bagamoyo road linajaza huwa nawaonea huluma waumini mana wana abudu wasichokijua na nikikutana nae nikumtania mana najua nguvu sio ya mungu yeye huniambia namshukulu malehemu mzee wako nisingekuwa tajiri kama sio yeye
God forbid...!!! Na ndio maana hata mauaji ya ndugu zetu walemavu wa ngozi hayatakaa yakome