Yahusu uhitaji wa kununua simu

Yahusu uhitaji wa kununua simu

MADE man

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2019
Posts
935
Reaction score
1,279
Umofia kwenu wakuu,

Poleni na msiba wa Rais Mstaafu B.W.M pia hongereni kwa mapokezi ya shujaa Lissu

Dhumuni kuu la ujumbe huu ni mahitaji ya simu aina ya One plus 6T

(1+ 6T) mimi mwenyewe nataka kununua.

Kwakuwa JF ni sehemu yenye wajuzi sinashaka nitafanikisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNATAKA SIMU HAPA AU SPECS ZA SIMU AU KUJUA BEI YA SIMU
 
Back
Top Bottom