wataalam habari za asubuhi,juzi nimenunua humax free hd mpeg4 receiver,na nina dish la futi sita Eurostar,nataka kuipata yahsat ndugu zangu,kuna yeyote aliyewahi kuipata kwa hapa dar?msaada wataalam,shukrani natanguliza

Kwa Dar huenda ukapata. Kuna thread mbili zinaongelea masuala ya satellite TV, hiyo kitu imegusiwa. Kwa kuanzia click HAPA, then maelezo mengine utayatapa humohumo.