Yahoo, gmail, hotmail &Co. Marufuku Serikalini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Serikali imepiga marufuku Wafanyakazi wake kutumia anwani za Email za kibinafsi kama vile yahoo, gmail na upupu mwingine badala yake watumishi wote ni lazima watumie anwani za Email za @...tz hasa pale wanapofanya mawasialiano ya kiofisi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom