Yahaya Jameh kugeukwa na wanajeshi?

Yahaya Jameh kugeukwa na wanajeshi?

Walau Afrika Magharibi wanaibeba Afrika.
Afrika Magharibi taratibu wanarejesha heshima ya muafrika. Walaniwe wote wanaokiuka misingi ya demokrasia kulinda masilahi yao /chama tawala .
 
Hao ECOWAS wakimaliza huko The Gambia tuwaombe waje na huku watutolee Nkurunzinza wa Burundi, Rwanda,Congo, malizia. ......
 
Speaking to AFP by phone, senior coalition official Isatou Touray said her team in Banjul had still not been told where the inauguration would take place or at what time, but was adamant it would go ahead.

And she welcomed a declaration by army chief Ousman Badjie that his troops would not prevent Jammeh's removal by force.

"That's a very positive outlook from him, given that Jammeh's regime is done," Touray said.

"We don't have to risks the lives of innocent citizens." In remarks at a hotel restaurant late on Wednesday, Badjie said he loved his men and wouldn't risk their lives in a "stupid fight," eyewitnesses said.
 
Ukweli hapa inavoonekana ni kwamba jeshi litaacha kumtii rasmi 19/1/2019 kama rais wa nchi hiyo na kama wanajeshi wataendelea kumtii basi watakuwa wamejiandaa kupigana na majeshi ys ECOWAS
Jeshi limeshasema kuwa haliko tayari kuingilia mambo ya kisiasa endapo jeshi la senegal likiingia wao watanyoosha mikono juu tu, kifupi wamesha mtosa jamaa.
 
Hapo Mkuu wa majeshi kaogopa kupelekwa the Hague,funzo Kwa viongizi wa Africa kuheshimu katiba na kusoma alama za nyakati
 
Alishindwa kusoma alama za nyakati ilitakiwa aibe kura ili kulazimisha ushindi km wafanyavo wengine ukishashindwa kwenye kura na ugome kuachia madaraka inakuwa ni ngumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom