yahaya ajitokeza,amjibu lady jaydee

yahaya ajitokeza,amjibu lady jaydee

Kama alishafuria asitegee kupata kick kwa mgongo wa Jide amefuria.

Nakelwa sana na wasanii uchwara kama hawa wa kudandiadandia vitu, hana tofauti na yule bwegge anayejifanya ni mdogo wake Diamond eti kaibiwa nyimbo na Diamond wakati Diamond ana nyimbo zaidi ya 100.

amefuria??? wakurya bana...vita ni vita muraaa....
 
anatafuta KIKI kwa kumjibu jide. kazaneni tu
 
Katafute bwana Facebook hapa hatupendelei matendo ya ushoga.

sikushangai, watu wa kabila linalokosea kati ya R na L wana hasira sana.

mwenye busara hukubali kurekebishwa pindi anapokosea, matusi ya nini sasa? kuwa mstaarabu.
 
...bongo fleva inaelekea kwenye utaarabu taarabuuu...hizo nyimbo hazitochukua muda ziTACHUJA tu
 
media zinapromote bifu, wanadai zinakuza mziki,wadau na wasanii wabovu

.:......mleta uzi acha gombanisha wasiogombana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom