ndugu wadau Laptop yangu iliingia maji ya kutosha tu nikaipeleka kwa fundi anifanyie marekebisho, Kuwaka imewaka lakini kioo kinaonyesha kwa mbali...what are the implication guys
kinaonesha kwa mbali kinamwanga?? yaani hiko kioo kinawaka mwanga kwamba unaweza kuona hata kama kuna giza??? au kinaonesha kwa mbali lakini hakina mwanga?? nijibu ili nkushauri cha kufanya??