Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
yah ni kweli mkuu nafkiri umefika wakati jukwaa hili nalo lijitegemee liwe na subforum kama vile
-technical queries (hapa ni maswali unauliza wengine wanajibu)
-tech store (kama jf store) sema iwe ndani humu watu waweze share designing zao wenyewe kama anavotaka c6 kushare photoshop psd zake
nakadhalika nakadhalika
Dah kweli mkuu mi nahs hii tuiwasilisie kwa adminstrator maana m2 unaingia kupata vi2 vya kiteknolojia unakutana na misaada tu mpk unaamua unende jukwaa lingneyah ni kweli mkuu nafkiri umefika wakati jukwaa hili nalo lijitegemee liwe na subforum kama vile
-technical queries (hapa ni maswali unauliza wengine wanajibu)
-tech store (kama jf store) sema iwe ndani humu watu waweze share designing zao wenyewe kama anavotaka c6 kushare photoshop psd zake
nakadhalika nakadhalika
Namaanisha hili jukwaa sasa hvi haliko kama lilivyo zamani smwhw linaboaa to be honest kama ni member mzur utaelewa ninachosemaSijakuelewa una maana gani mkuu Mndengereko
Namaanisha hili jukwaa sasa hvi haliko kama lilivyo zamani smwhw linaboaa to be honest kama ni member mzur utaelewa ninachosema
yap ni kweli itabidi yale maujanja yaanze kurudi..
eti lugha za fb,ila hawa maspy toka mitandao ya cmu wame2haribia sana mambo ye2Pia na lugha za kifesibuku nazo zimekwishaanza kusambaa humu na kiingerezakiswahili pia yaani jf ilivyonishawishi toka mwaka jana nikajiunga nayo sii ilivyo sasa.