Mkuu lipo Dolphin hapo Urusi ndio picha ulioiweka hapo wafungwa hawaruhusiwi kutembea wakiwa wamesimama muda wote ni kuinama kama unavyoona na hilo Alcatraz lipo San Fransisco alipofungwa Guzman Elchapo lina security ya hatari kwanza ujenzi wake lilichimbwa na kuwekwa zege kubwa chini ili kuzuia kuchimbwa na mfungwa anakaa mmoja mmoja hakuna visiting na gazeti wanapewa kipande kimoja tena cha miezi mitatu nyuma sehemu ya kulala ni kitanda kioichojengwa kwa zege na toilet pembeni godoro kama ulimi...watuhumiwa waliopo hapo ni wale waliofanya matukio ya hatari tuu..wenyewe wanaiita jehanamu hao mabwana jela tuu wanaomba wawe wanaamishwa baada ya muda na bwana jela akimaliza mkataba au kuamishwa waandishi wa habari wanamfata kumhoji maana wafungwa wa hapo Alcatraz ni vifungo vya maisha tuu au vile virefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.