Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

Hance unamahaba na haka katoto maana...
Kweli biashara inalipa kwa siku anatumia zaidi ya laki 3 na nusu na utajiri huo wa bilion 1.2
Ila wajinga ndo waliwao na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama anautajiri huo
 
Mrembo mwenye mvuto wa hajaa aliyebarikiwa kuanzia unyayo mpaka ncha ya nywele ambaye hachoshi kumtazama ajulikanaye kama Anna Patrick Kimaro (Tunda Saba Sita au Cleopatra) hatimaye wazee wa kunyapia nyapia wamegundua kuwa mrembo huyo anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku lakini hana show off za kijinga kama yule aliyejinadi anavaa mawigi ya milioni sita wakati hata sehemu aliyopanga thamani ya kodi yake haizidi elfu 70 kwa mwezi .

Pia inasemekana kuwa ana utajiri usio pungua bilioni 1.2 ila hapendi kuanika utajiri wake wazi kwa sababu maalumu.

Hata hivyo bado haijagundulika haraka haraka chanzo cha mapato yake hayo kulinganisha na umri wake ni nini?

View attachment 635378

View attachment 635380

View attachment 635382Tunda akiwa Gym kuweka sawa umbile lake matata ambalo linawatoa udenda wakware wengi hapa mjini .

View attachment 635388Tunda akiendelea kula good life ,mwenyewe anakwambia stress hazina nafasi maishani mwake.
Ila nikiona mwanaume anatoa habari za kimbeya za mwanamke nasikitika habari zenyewe za uongo sasa mtu chanzo chake hakijulikani mara tena anakipato zaidi ya bil1.2 kuwa serious mkuu.....
 
HAMNA KITU HAPO

WADADA WA MJINI WANAPENDA KUTAMBIANA SANA HUKO INSTA.
ILA MAISHA YAO HALIS NI TOFAUTI...
 
Huyu Tunda namuweka katikat ya visu kutoka Babati anafunikwa mbaaali kabsa.

Ni mzuri ila si wa kias icho ndugu, tembea ujionee Tz ina mengi yakupendeza achana na Insta.
Tupia picha ya huyo demu unayemuona mkali kuliko Tunda tulinganishe hapa
 
Ila nikiona mwanaume anatoa habari za kimbeya za mwanamke nasikitika habari zenyewe za uongo sasa mtu chanzo chake hakijulikani mara tena anakipato zaidi ya bil1.2 kuwa serious mkuu.....
Acha unafiki wewe

Mung'unya,ubuyu usepe .
 
ukimwi utaishaje kwa style hii ya kuliwa nyuma... namshukuru mzazi wangu kunipeleka shule kanisaidia kutotumia mwili kuishi
tena shukuru mnooo wanawake wasiokuwa na shughuli maalum kipindi hiki mbona kazi ni kupoteza rinda tu mpaka huruma
 
Daah! Namkumbuka mara ya mwisho kumwona akiwa nadhani darasa la sita( alikua anasoma internationa schools moshi) but alikua anakuja arusha kwa bibi yake mzaa mama ambaye tupo jirani, juzi kati naambiwa tunda kawa maarufu ivi? Nikasema kweli kipindi kile nilichezea bahati na sitokuja kuipata tena maishani
Saba 6 hajawahi kua na hela ya kumpeleka mtoto ISM namjua istoshe alipata hela kwa ray kishumbua mwaka 2003
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom