Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

we ndio unajua leo ilo....kuna jamaa yangu yeye huwa anamla matako tu na huwa anamsumbua sana kwenye simu akamle nikikaa nae huwa ananionesha kabisa call zake akiwa anampigia nahisi atakua anampa dau zuri huko nyuma kwa bao moja na alishawahi kumtaja kabisa kwenye kipindi cha shilawadu live ijumaa

Jamani jamani!! mimi namuwazia tu mzazi wa huyu binti kama anapitia huku sipati picha.
 
Naona Ma "agent" wako kazini! Huna nyumba, huna gari, huna kipato cha kueleweka mpaka ucheze uchi kwenye video ya wasanii, yote inamaanisha nini?! "mnyama mbugani"!
Wanatuharibia tu watoto wengine wa kike kwa kufikiria maisha ni hotelini, chumbani au chooni kila siku..
 
Mrembo mwenye mvuto wa hajaa aliyebarikiwa kuanzia unyayo mpaka ncha ya nywele ambaye hachoshi kumtazama ajulikanaye kama Anna Patrick Kimaro (Tunda Saba Sita au Cleopatra) hatimaye wazee wa kunyapia nyapia wamegundua kuwa mrembo huyo anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku lakini hana show off za kijinga kama yule aliyejinadi anavaa mawigi ya milioni sita wakati hata sehemu aliyopanga thamani ya kodi yake haizidi elfu 70 kwa mwezi .

Pia inasemekana kuwa ana utajiri usio pungua bilioni 1.2 ila hapendi kuanika utajiri wake wazi kwa sababu maalumu.

Hata hivyo bado haijagundulika haraka haraka chanzo cha mapato yake hayo kulinganisha na umri wake ni nini?

View attachment 635378

View attachment 635380

View attachment 635382Tunda akiwa Gym kuweka sawa umbile lake matata ambalo linawatoa udenda wakware wengi hapa mjini .

View attachment 635388Tunda akiendelea kula good life ,mwenyewe anakwambia stress hazina nafasi maishani mwake.
uzi ka huu si wakuchangia hasa ka umeletwa na dalali wa machangu
 
Huyu Tunda namuweka katikat ya visu kutoka Babati anafunikwa mbaaali kabsa.

Ni mzuri ila si wa kias icho ndugu, tembea ujionee Tz ina mengi yakupendeza achana na Insta.
 
Huyu Tunda namuweka katikat ya visu kutoka Babati anafunikwa mbaaali kabsa.

Ni mzuri ila si wa kias icho ndugu, tembea ujionee Tz ina mengi yakupendeza achana na Insta.
ngoja nikatembelee huko nitaleta majibu hapa...ila huko si ndo kwa wambulu??????????hao ni noma kwa kugawa kama.....
 
ngoja nikatembelee huko nitaleta majibu hapa...ila huko si ndo kwa wambulu??????????hao ni noma kwa kugawa kama.....

Mkuu izo za kigawa huwa ni stori tu ni bora kutokuziamini pale utakapoenda huko, ila kwa uzuri wale watoto ni hatarii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom