Yabainika Bill Gates Mfadhili wa Boko Haram

Yabainika Bill Gates Mfadhili wa Boko Haram

This is a long fictitious and boring story without truth in it. The terrorist groups like Boko Haram etc claim their support mainly from the wealthy Arabs based in the Middle East.

These stories are designed mostly to mislead the people and to hide the real sponsors of terrorism which is associated with the so called "Global Jihad". So please stop fooling the people.
 
Bill Gates anapigwa majungu huku njooni muone kituko cha mwaka
 
That is just your opinion my friend. There is no Global JIHAD except both Americans and Jews are behind the mission .
 
Bill Gates anapigwa majungu huku njooni muone kituko cha mwaka
Cha mwaka kivipi? hivi ukiwa unasoma habari za zamani siku utayosoma ndio hiyo habari inakuwa kituko cha mwaka huo huo eenh! uchachimbua kaburi and then unasema tuje kutizama Maiti kwa akili yako kaburi la zamani unategemea kukuta Maiti au Mifupa?
 
ndio aliofuata Bill Gate Tanzania? Hii ni hatari sana. Hasa tukizingatia njia tunavyofanya maamuzi.
 
lengo ni kuleta Depopulation,dunia inatakiwa katika kipindi fulani ibakiwe na watu milioni 500 tu kati ya sasa bilion 7.

Ndo maana pia gate anahusika na kampeni za uzazi wa mpango.
Pamoja na kusambaza chanjo ambazo zinasababisha kupungua kwa uwezo wa kuzaliana.
Wanasema the world must get rid of useless eater.

Mkuu elungata nashangaa watu wanapuuzia meseji maridhawa kabisa kama hii,jamani hawa watu wanatengenezwa kutimiza malengo ya mwisho wa dunia. tusilale
 
Back
Top Bottom