Yaani wananchi ni kama wanachokozwaa

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
239
Reaction score
263
Hivi kwanini aisee
Yaani mtu anatoa bunduki kutishia mtuu ??? Hadharani

Nape aliwahi kutishiwa?

Anajiamini kwa sababu ana silaha?
Mamlaka???
 
Yule ni Tetere au njiwa
Ila kumbuka kumtangaza afisa kipenyo ni kosa kisheria πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hii ni Sheria yao iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2023.
Itakuwa nimekosea kuandika, ngoja nofute
 
kuna dhoruba mbele kumbuka kabla ya october hasira za jamii zilipandishwa namna hii hii ghafla wote tunawaza kwa umoja tunareact sawa...
ni michezo tu bahati mbaya tupo busy kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…