Yaani hizi "X" zinakera!!!!aaaagh....

Yaani hizi "X" zinakera!!!!aaaagh....

POPOBAWA kavutiwa na heading.
 
Tena sasahv wamepitiliza mpaka "g" wanaandika "q", badala ya "gari" wanaandika "qari" mbna shida kwakweli.
 
Jaluo_Nyeupe bwana..,umenchekesha. Sasa vp ushaitikia wito wa mbunge wako wa kwenda kutailiwa?
 
Usomali umejulia wapi? Unataka kunidanganya. H = X ????

haya naona unabisha ukizani na wewe ni msomali.nenda kawatafute wasomali wenyewe sio chotara.mwambie aandike mohamed ataandika moxamed.
 
Achahasira! Hawaandiki Moxamed wanaandika Maxamed! Kwa hiyo wewe ni chotara?
 
Hizo sijui mnaziita swaga utumbo mtupu. Watoto wa siku hizi lugha hawaziwezi kabisa, utasikia mtu anaimba "nakonda na mawazo" badala ya "nakonda kwa mawazo"
 
Unakuta mtu anakutumia msg,au kuchangia hoja fulani ktk hii mitandao ya kijamii,halafu kwenye neno linalotakiwa S anaweka X.sijui huu mtindo unasaidia nn!!mf;-sasa=xaxa
msusi=mxuxi
aaaagh wacheni ujinga,mnaboa!!!!

duh! Mi nikajua zile X tunazozijua, kumbe ni za fb
 
Ukiona hivo ndo ujue umri unakutupa mkono....inabidi kifimbo cheza afanye kazi kwa wanaoharibu lugha
 
Back
Top Bottom