Yaani bila kupekua sipati usingizi

Yaani bila kupekua sipati usingizi

Nimekuja mbio nilidhani kupekua kitabu nyama kumbe huu ujinga, usirudie kunisumbua hivi...nikiwa nakunywa
 
Uaminifu ni muhimu ktk mahusiano, la sivyo utakufa kibudu bure
 
Dah mkuu Freeland, umemfuata mpaka huku!!!!

Mkuu ujue tangu nimejiunga JF nimekuwa nikivutiwa sana na huyu bibi

Nimejikuta nampenda sana na hivyo siogopi kusema

Hoja zake humu mujarabu

Hahorojoi yeye anatoa hoja tu

Mtu yeyote makini lazima ampende

She is a woman of her own kind.

Nampenda sana anavyojiamini na anavyotoa hoja.....nikiingia tu JF namtafuta yeye ka post nini

Kwa kweli i cant...Kwangu mimi JF ni yeye

Kweli kabisa FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haa haya bhana, nadhani kakusikia, japo najua mnatofautiana jambo moja tu kama sio mawili. Ila haina shida kula nae sahani moja tu mtaelewana.
 
Last edited by a moderator:
Ongeza juhudi utapata unachokitaka
Usisahau kuja kutuambia ulichokikuta kwasababu najua mwisho wa siku utalia wewe!
 
Dah mkuu Freeland, umemfuata mpaka huku!!!!

Mkuu ujue tangu nimejiunga JF nimekuwa nikivutiwa sana na huyu bibi

Nimejikuta nampenda sana na hivyo siogopi kusema

Hoja zake humu mujarabu

Hahorojoi yeye anatoa hoja tu

Mtu yeyote makini lazima ampende

She is a woman of her own kind.

Nampenda sana anavyojiamini na anavyotoa hoja.....nikiingia tu JF namtafuta yeye ka post nini

Kwa kweli i cant...Kwangu mimi JF ni yeye

Kweli kabisa FaizaFoxy

Ha ha haa haya bhana, nadhani kakusikia, japo najua mnatofautiana jambo moja tu kama sio mawili. Ila haina shida kula nae sahani moja tu mtaelewana.

Kuna mmoja katika Moderator wa JF kaiona harassment na kafuta posts za mwanzo lakini nnaona hiyo bado haijamtosha huyu anaejiita Freeland na kama ulivyoona bado ananifatafata na harassment yake na nnauhakika kuna analolitafuta, mimi ntaendelea kuwa calm mpaka sheria za JF zitapoliona hili na kuchukuwa hatuwa.

Invisible, Paw, PainKiller, Moderator
 
Nakushauri upakuwe moyo wake ...sasa we unapekuwa simu!! Ukipekuwa simu ni kama umepekuwa pochi yake au umepekuwa daftar Lake la kiswahil
 
Kuna mmoja katika Moderator wa JF kaiona harassment na kafuta posts za mwanzo lakini nnaona hiyo bado haijamtosha huyu anaejiita Freeland na kama ulivyoona bado ananifatafata na harassment yake na nnauhakika kuna analolitafuta, mimi ntaendelea kuwa calm mpaka sheria za JF zitapoliona hili na kuchukuwa hatuwa.

Invisible, Paw, PainKiller, Moderator
FaizaFoxy......ivi mtu kumpenda mwenzake kwa hoja anazotoa ni harrassment?

Harrasment kiwa sheria za wapi?

FF i stand to be corrected.Na sheria za JF zichukue mkondo wake kama nakosea kusema nakupenda kwa sababu ya hoja zako.

Mbona watu wakikwambia wanakuchukia hausemi ni harrasment....coz kuchukia ni opposite ya kupenda.....

FF nazikubali sana hoja zako...na ndio msingi wa hili.
 
Last edited by a moderator:
Mchumba tu unamgonga mara sita kwa mwezi? Sasa ukimuoa je?
Nikimuoa walau mara ishirini kwa mwezi. Atapata likizo akiwa hedhi tu. Hapa amefuata kazi moja tu. Nisije muonea huruma kumbe watu nje wanapona. Manake babu alinihusia kuwa wanawake ni kama maembe. Wewe ukisubiria liive wenzio wanakula kwa chumvi.
 
Back
Top Bottom