Yaan Sijui Mzee KAFU atasalimika .... ?

Nilikuwa banned kwa kusema "nyumbu". Yes, i said it again!!
sawa bwana wazee wa kinga bila kinga nyie ni weupe tu mko na kinga hadi kwa wafanyakazi wa mitandaoni mtaonga sana.


swissme
 
Mnyukano wa makada wa CDM (Lissu) na ACT (Prof. Kitila) hivi unasaidia kuuzima huo moshi kwenye nyumba ya Mzee KAFU ....?
 
moto wa pumba ni hatari sana. huwa hautoi moshi na unaweza kaa mda mrefu bila kuzimika.
 
Maalim Seif kishafungua Account ya 'Maafa' kusaidia Wahanga wa Mgogoro huo kina Mtatiro ndio sababu wanaenda resi sana
 
Hakika huu U-NGANGARI na U-NGUNGURI wa kambi hizi mbili ndani ya nyumba ya Mzee KAFU ukiongozwa na Maalimu Seif na Prof. Lipumba utazidi kuuchochea zaidi MGOGORO unaoonekana kukua kila iitwapo leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…