Kuoa ndoa ndio vipi?Wapumbavu tu ndio wanaoa ndoa , ndio maana kupata visa kama vyako ni rahisi mno🤔
Jinsia yake ni maleWe jinsia gani?
Sio haki hata kidogo.Kama kichwa cha habari kinasema wadau
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
Upo bia ya ngapi arifu ?Wapumbavu tu ndio wanaoa ndoa , ndio maana kupata visa kama vyako ni rahisi mno🤔
Ya tano bwasheeUpo bia ya ngapi arifu ?
Mimi sina dini ujue😅Kuoa ndoa ndio vipi?