Ya wizi wa fedha Chadema ni kweli?

Ya wizi wa fedha Chadema ni kweli?

Kama ni kweli Heche chukua hatua.

Pili kila mchango upitie kwenye namba za chama na si vinginevyo na uwe msimamizi wa hizo namba. Kwani unazibeba mabegani? Unakuwa nazo kwenye simu yako and all is done!
20260129_193935.jpg
 
Mkuu ule haukuwa mchango wa cdm kama chama, bali wafuasi wa cdm wa mitandaoni walihamasishana wenyewe katika kufunga mwaka kuwa wamchangie Lisu. Na aliyekuwa akikusanya pesa hizo sio chama bali kaka yake Lisu, na namba zake aliweka za mitandao ya simu na bank. Pesa za chama zilikuwa ni za kuzaliwa kwa chama na wachangishaji ni viongozi baadhi wa chama, na hadi sasa line zao zimefungiwa kupokea fedha!

Hizo pesa za Lisu ni za mashabiki wala hazikuwa zinaratibiwa na chama, hivyo cdm haihusiki, bali polisi wametumia sintofahamu hiyo kutaka kuichafua cdm. Toka lini jeshi la polisi likawa na wema kwa Lisu ama cdm? Lisu kapigwa risasi mwaka wa 8 huu polisi hawafuatilii, na bado Lisu ana kesi mahakamani, na mashahidi wa uongo ni jeshi la polisi, toka lini wakawa na wema huo wa kufuatilia pesa za Lisu?
 
Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom