Ya Waziri Mwakyembe;hadi sasa bado siamini

Mkuu,Dr.Mwakyembe amesomea Shahada yake ya Uzamivu katika Chuo Kikuu cha Hamburg,Ujerumani. Na si UDSM.
Kama ni Ujerumani amekalia kuti kavu.. Hawa jamaa kulikuwa na waziri wao mmoja, katika kazi yake ya PhD ali-quote kazi ya mtu akasahau kuiwekea bila kui-reference, jamaa walimlimisha kujiuzuru. Hawana mchezo kabisa hao jamaa kwenye mambo ya elimu.
 
Back
Top Bottom