Ya Waziri Juliana Shonza ni kama ya Nape Nnauye, Wasafi group itamgharimu

Di yeye ahame zake hawa wanampango wa kushusha hadhi yake nipamoja nahizo kazi walizifungia ndio zimetoa mtanzania kwenda kupafom kombe la Africa na Leo anategemea kwenda urusi kuitangaza tz kwa kila mchezo tumeshindwa sasa hata hyu ajiendee tu nchi aipendayo
 
Kwenye market strategy, nafikiri unaweza kuwa na bidhaa za ndani na bidhaa za nje. Kwa nyimbo ambazo wasanii wanafanya collabo ina maana wanataka zipigwe au zioneshwe nje ya nchi na hivyo kuwapa nafasi ya kujulikana na kutengeneza pesa. Nimeshangaa kuwa hawaruhusiwi kuperform nyimbo walizozifungia hata wakiwa nje ya nchi wakati mapato yao yanatozwa kodi na pia kwa maoni yangu wanailetea sifa nchi.

Ni kweli nyingine hazifai kuoneshwa kwenye TV zetu kutokana na maadili yetu lakini wangewaacha wazi perform nje ya nchi. Jambo lingine nikutazama kanuni za broadcasting kama zinaelekeza kuonesha filamu au muziki wenye picha mbaya kwa watoto saa fulani za usiku. Kwa sasa tuna TV channels za kimataifa ambazo zina filamu ambazo usiku wa manane kunawekwa filamu ambazo si nzuri kwa watoto, sina hakika kama kanuni zinaruhusu na kama zinaruhusu zitumike kuelekeza au ku monitor TV zetu kuona kwamba nazo zinafuata kwa kuonesha miziki ambayo inasemwa haina maadili ioneshwe muda huo unaoruhusiwa kwa kanuni hizo(Kama zipo)
 
Hata muda huu tu nipo nyumbani naangalia Star movies...
Kuna movie ya ajabu mtoto akitokea gafla lazima nigeuzie TV ukutani
 
Hata muda huu tu nipo nyumbani naangalia Star movies...
Kuna movie ya ajabu mtoto akitokea gafla lazima nigeuzie TV ukutani
Uongozi sio Kelele na kufoka hata Mbwa nyumbani anafoka sana lakini ukiwafuga mbwa na Paka pamoja wanaheshimiana sana, Mbwa anaelewa Paka akikasirika nini kinaweza tokea

Hata Paka humuheshimu sana mbwa nyumbani akitambua wote bosi wao ni mmoja

Waliofuga mbwa na Paka tangu wakiwa wadogo wanaelewa namaanisha nini?

Katika uongozi na kutawala heshima ni muhimu sana Sana bora ujifanye mengi huyajui kuliko kujibu kila kitu, Kuna watu wenye mamlaka ukimsema halali usingizi kabisa
 
Di yeye ahame zake hawa wanampango wa kushusha hadhi yake nipamoja nahizo kazi walizifungia ndio zimetoa mtanzania kwenda kupafom kombe la Africa na Leo anategemea kwenda urusi kuitangaza tz kwa kila mchezo tumeshindwa sasa hata hyu ajiendee tu nchi aipendayo
Mtu ya familia yake zero ataweza nidhamu ya Taifa zima

Charity begins at home sasa huyu mdogo wake alitaka kuolewa na mwanamke mwezake

Kweli nyani haoni ( )
 
Mtu ya familia yake zero ataweza nidhamu ya Taifa zima

Charity begins at home sasa huyu mdogo wake alitaka kuolewa na mwanamke mwezake

Kweli nyani haoni ( )
Mambo mengi ya kibongo
Mtu ya familia yake zero ataweza nidhamu ya Taifa zima

Charity begins at home sasa huyu mdogo wake alitaka kuolewa na mwanamke mwezake

Kweli nyani haoni ( )
Nihatari unaweza kkuta tofauti demu wa mond anachuki na huyo dawa nimkomeshe madaraka mengine hayafai kupewa vijana huwa wanamatatizo yao mitaani napesa nyingi akiwa nazo kijana nivigumu kuzibiti
 
Wana JF,

Uongozi ni kipaji sio kila mtu anaweza kuongoza, unaweza pendekezwa kuongoza lakini ukaishia kuwa mtawala kama Waziri wa michezo Juliana shonza.

Kitendo cha kutosoma mamlaka inayomzunguka bila kutambua kwa sasa Mkuu wa Dar es Salaam ndio kila kitu kwa sasa, Aidha mkuu wa mkoa wa Dar ndie mlezi wa Wasafi group chini ya Diamond Platinum.

Haya majibizano anayoyafanya amuulize Nape Nnauye, kuwajibu watoto wa Wasafi wanaolelewa na Mkuu wa Dar es Salaam itamgharimu sana.

Kila wakati watu huambiwa shule za Afrika hasa Tanzania watu hufuata vyeti na sio elimu, huyu waziri na elimu yake ameshindwa tambua mamlaka iliyo kuu.

Wasipomaliza kwa kupatanishwa na kama wasafi chini ya mlezi wao wakisimamia hawakupewa barua kuhusu kufungiwa nyimbo zao huyu dada yaweza ikawa njia nyeupe kupisha wengine.

Mamlaka ya Dar es Salaam ndio mamlaka kuu ambayo unaweza peleka matatizo yote iwe ya kudhulumiwa au ya kimahakama ukapatiwa ufumbuzi.

Ni nani mkuu waziri au mkuu wa Dar? Shonza alipaswa kujifunza ya Nape Nnauye
Mwakyembe hakustali kutoa neno lenye ukakasi zaidi kuwapatanisha. Mfano kwa sasa huyu msanii akikaa kimya ni nani anaonekana mwenye akili au Mada. Sio kila kitu ni cha kutolea kauli zaidi ya kufikirisha akili kuenda na matukio juu ya wasanii
 
Back
Top Bottom