Ya uwanja wa ndege kigoma...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,137
2,000
Baada ya Wadau kuwashikia Bango, UWanja wa Ndege Kigoma Wameshafuta hii:
IMEBAKIA HII: (SIJUI NI KIASI GANI CHA FEDHA zA UMMA ZIMETUMIKA HAPO KUANDIKA UTUMBO NA KUFUTA );
Uongozi wa Uwanja wa Ndege Kigoma Umeandika kwenye blogu ya Michuzi ukilalamika kuwa Bandiko lililotolewa halipo tena tokea Januari, 2011. Utaona kilichofanyika hpo ni kufuta Ilani yote badala ya kurekebisha maandishi ili kutoa ujumbe kwa lugha sahihi..hii inaonyesha namna gani uongozi huo usivyokuwa makini...(Twaweza kujiuliza kwa nini waliandika kitu wasichojua?. na ni fedha za umma kiasi gani zilmetumika hapo kuandika na baadae kufuta baada ya wadau kulalamika?)...

source: http://issamichuzi.blogspot.com/search?q=lugha+gongana+kigoma
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,805
2,000
haha haaaa ha....................huh,kwa kuongea sio ye2 hata kuandika jamaaaaani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom