Ya msondo mpe ngurumo

Ya msondo mpe ngurumo

ukiona mtu amecomment kitu ambacho hukipendi tafuta njia nzuri ya kumrekebisha....hata ww si wakati wote huwa unacomment sensible things humu....naomba niendelee kukuheshimu brother

Wapi ulipoona nimekushambulia?
 
Mimi nikitaka kumuondoa mtu anayejitia haelewi nampa list tu ya matatizo km hvyo najua lzm akimbie,if u see that men ujue hajakupenda ata kdg!!!!
 
Hana wazazi?

Kama shida yake ni fedha basi akaombe kazi BOT...

Wanawake huwa mnajidhalilisha sana na huwa nashangaa huwa mnapata wapi guts za kutetea ulemavu wa fikra kama huu...

Ndio maana wanaume hawataacha kuwatumia, maana tushagundua ninyi ni kama jamvi la wageni kila mwenye makalio anaweza jinafasi...


mkuu haya maneno ni yako kweli?
mbona hufaani nayo
 
Marry wangu

amehama kwao msasan amepanga tabata

anasema nipeleke nguo zangu kwenye chumba alichopanga

naomba mnisaidie
nkubal ama nikatae
 
Unakula chaka tu!Mwishowe atakuambia roho yake sio nzuri anaomba ya kwako aweke!!!!
 
Mwanamke akikaa sana nyumbani lazima awe bored na kibaya zaidi migongano na wazazi, walezi na wanaukoo inaanza. Hii ni nature kwamba umri ukishaenda mtu anatakiwa awe kwake na yeye sio kukaa kwa wazazi/ndugu. Kwa hiyo sometimes wanawake wanawalilia wapenzi wao kwa kuwa wamechoshwa na maisha ya kukaa kwa watu wanataka waanzishe maisha yao lakini ndio hivyo uwezo hawana. Kwa hiyo wakati mwingine anakusumbua kutokana na situation aliyomo hata yeye hapendi(of course sio wote, wengine wasumbufu tu). Kumsaidia sio lazima umpe samaki unaweza kumnunulia nyavu na kmfundisha kuvua. Maana yake ni kwamba unaweza kukaa naye mka discuss hali yake na ukadadisi shughuli gani anaweza kufanya kisha ukamsupport ili ajitegemee utakuwa umemsaidia sana. Tusipende kuwakandia tu bila kujua matatizo yao kwa undani. Chukulia kila case as a special one.Sio anaanza tu kueleza matatizo yake wewe akilini unawaza: "eheee ni wale waleee" Msikilize, hoji maswali mdadisi sana unaweza kugundua kuwa sio wale waleee!
 
Achana naye huyo unless unataka papuchi.
Mi ukiniingilia kwa gia hizo nitakupa hela ila nitakutumia tu
 
jaman wanaume mbona mnalalamika kuchunwa?wanawake nao wamegundua kwmb mnawatumia tu na kuwatema ndo maana nao wameamua kupoza machungu kwa kuwachuna,lkn hata hvyo c lazm ukiona unachunwa unachapa lapa!! Hata hvyo ww umeingia kwa gia ya kuhonga kwnn usichunwe mara hela ya tax tu lak,vijizawad kbao,vocha buku 20n.k kwnn ustangaziwe shda nyngne na mazagazaga yote machungu ya maisha yapoe maana hela zako hazna kaz!

tushastuka siku hizi, maana mazingira mnayopitia tushayajua. Hatoi kitu mtu hapa, pasipo maelezo ya kina.
 
ukiona mtu amecomment kitu ambacho hukipendi tafuta njia nzuri ya kumrekebisha....hata ww si wakati wote huwa unacomment sensible things humu....naomba niendelee kukuheshimu ......

so wise.....
 
Sometimes madem wanaboa sana. Mie ninayedem (nafikiria kuachana nae ofcoz) ambaye nimedumu nae mda mrefu kidogo kipindi chote hicho nilikiwa chuo msasters na nilikiwa najisomesha mwenyewe so hela yangu yoote ilikuwa inaishia shule yeye alikuwa anafanya kazi. Cha ajabu ni kuwa pamoja na kuwa sikumficha hali bado aliendelea kutaka pesa tena hadi akadai nimnunulie smartphone nilipomwambia kwa sasa siwezi kaja juu na kubadilika kabsa hata kuonana ikawa shida achilia mbali kupokea simu. Sasa nimemaliza chuo nimebahati kupata kazi at least I earn something now japokuwa sio kivivyo heee kajirudisha kwa nguvu zote.
Mara sasa ni wakati tuoane mara tuchange pesa tufanue biashara ooh nina ndugu Ulaya wanataka niolewe wanifanyie sijui nini eeh.....
Frankly speaking sina hamu nae tena na nimekuwa nikimkacha ila yeye hajajua tu. Sasa wadau katika hali kama hii unaweza kunilaumu, kumbuka nilipokuwa naface financial difficulties alinikimbia.
 
ukiona hivyo anakutengenezea mazingira ya kutaka hela ujipange kabisa
 
When a girl tells you about her problems, it does not mean that she's complaining, it means she trusts you. May be hii itakusaidia mkuu, nimeiiba sehemu.
 
Back
Top Bottom