Ya msondo mpe ngurumo

Ya msondo mpe ngurumo

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,963
Kuna kijitabia cha baadhi ya madada kinaboa sana! Utakuta umeanza mahusiano na binti ndo hamjamaliza hata miezi 3, inakuwa kila mnapokutana story zake zote ni kuhusu matatizo,shida,matatizo ya familia yao, mara aseme wazazi hawampendi, mara anafosi umwoe eti amechoka kuishi kwao!

Yaani kila siku full kulalamika kuhusu ukoo wao! Mbaya zaidi kila siku ana shida na pesa, yaani mkikutana tu hakuna jipya ni shida,matatizo,malalamiko!

Jamani madada mnakuwa mizigo sana, mambo ya ukoo wenu hayamuhusu boyfriend wako! ya Kaisari mpe Kaisari

Sent from my siemens c35 using Jamiiforums
 
ha!ha!haaaa!saasa si ndo nyongo mkalia inii?amwambie nani ka sio wewe? ila pole mtoa mada ndo uanze kuzoea familia ya bebioo kua ni shida shida.
 
Madem wa siku hzi njaa kali hata kama anafnya kazi lazma aombe pesa kwa bf wake
et wenyew wanajua ndio kipmo cha upendo katka mapenz
 
mkuu kutoa ni moyo,,,,,,,, hata haina uhusiano na utajiri.

msaidie tu mwenzi wako.
 
Sa mtu zaidi ya miaka 20 upohomie tu, unachoka
mchukue bana....
 
Usipomuhudumia wenzako watakusaidia afu uje utulilie hapa.
 
hapo ipo shida.... haiwezekani hadi ndugu zake wamchukie...
akili kumkichwa ndugu..
 
Ndani ya week ushapigwa bomu mpya mpya zaidi ya nne, ooh ! ooh simu yangu mbovu, ooh nataka kuacha kazi hailipi! oohh nadaiwa kodi ya nyumba! oooh naomba hela ya saluni! ooohhh bla blah blah! blah!
 
Usipomuhudumia wenzako watakusaidia afu uje utulilie hapa.
sasa unataka akamwambie nani? wapita njia ama?

Hana wazazi?

Kama shida yake ni fedha basi akaombe kazi BOT...

Wanawake huwa mnajidhalilisha sana na huwa nashangaa huwa mnapata wapi guts za kutetea ulemavu wa fikra kama huu...

Ndio maana wanaume hawataacha kuwatumia, maana tushagundua ninyi ni kama jamvi la wageni kila mwenye makalio anaweza jinafasi...
 
jaman wanaume mbona mnalalamika kuchunwa?wanawake nao wamegundua kwmb mnawatumia tu na kuwatema ndo maana nao wameamua kupoza machungu kwa kuwachuna,lkn hata hvyo c lazm ukiona unachunwa unachapa lapa!! Hata hvyo ww umeingia kwa gia ya kuhonga kwnn usichunwe mara hela ya tax tu lak,vijizawad kbao,vocha buku 20n.k kwnn ustangaziwe shda nyngne na mazagazaga yote machungu ya maisha yapoe maana hela zako hazna kaz!
 
Hana wazazi?

Kama shida yake ni fedha basi akaombe kazi BOT...

Wanawake huwa mnajidhalilisha sana na huwa nashangaa huwa mnapata wapi guts za kutetea ulemavu wa fikra kama huu...

Ndio maana wanaume hawataacha kuwatumia, maana tushagundua ninyi ni kama jamvi la wageni kila mwenye makalio anaweza jinafasi...

ukiona mtu amecomment kitu ambacho hukipendi tafuta njia nzuri ya kumrekebisha....hata ww si wakati wote huwa unacomment sensible things humu....naomba niendelee kukuheshimu ......
 
Back
Top Bottom