miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,106
She is back kutoka kwenye ban.
Sina ban wewe mi nipo vizuri
She is back kutoka kwenye ban.
Kwani mumie ulipigwa ban?
Hapana nilikuwa na majukumu ya kijamii tu mamy
utafiti dady unasalimiwaOk poa msalimie baba yako
Kwani mumie ulipigwa ban?
Nimepata mwanangu, mwambie asante kwa salam nimepokea
Mke mwenza apigwe ban kwani ana tatizo na mtu? Labda kama alimlia hela mod mmojawapo
Hivi mod nao huwa wanatokea watu pm?
Kuna mtu wangu namtafuta pia simwoni
Hahaaa wii umefikiria nini aisee
Yupo huku anakupikia ndizi nyama
Mkwe ndo maana nakupenda,msalimie sana