Uchaguzi 2020 Ya Membe na kina Zitto, mpango ni CHADEMA kife

Kama hawataki kuungana na wenzao kuanzisha UKAWA20 basi wajue kuupata u KUB labda kwa majaliwa yake Mola!
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!

Hii ni ramli chonganishi, yaani ACT ndio ya kuiua cdm kisa Membe kaenda ACT? CDM kuweni makini na hadithi za hivi, lengo lake ni kuleta ugomvi baina ya cdm na ACT kwa faida ya ccm. Huu ni upumbavu kama. Upumbavu mwingine.
 
Mkuu itapata wabunge kwa tume ipi? Kwann haikupata wabunge kwenye chaguzi ndogo za wabunge mf Kinondoni, Siha, Kakonko, n.k? Chadema inaweza isiwe na mbunge hata mmoja uchaguzi huu. Ndiyo maana kwa kuiona hatari hiyo wengi wanaunga juhudi.

Heche ,Sugu ,Lema , Mbowe ,Mdee mtaweza kuwabia kura zao??
 
2020-2025 CDM watakufa kabisa maana hata jukwaa la kuongea (Bungeni) hawatakuwa nalo tena.
 
Bado naamini cdm kupata mbunge au diwani hata mmoja watakua wamejitahidi sana. Chama kikuu cha upinzani kinaenda kua act wazalendo. Mungu tupe uhai na afya njema tukutane baada ya uchaguzi .

Kwa huu uchaguzi wa kishenzi na uhayawani wa wazi, sioni ni vipi cdm inaweza kupata kiti chochote. Kwa sasa uchaguzi rais ndio anaamua nani atangazwe mshindi, na rais ana chuki na nongwa ya wazi kwa cdm. Hapo unatarajia cdm watangazwe washindi?
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!

Zitto ni chadema?

Chadema wanafanya nini?
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
ACT na Membe kamwe hawawezi kukium CDM, hiki chama kimeenea mioyoni mwa watu.
 
Wanaounga juhudi hawajui nini maana ya siasa za ushindani, Mafanikio ya Magufuli yametokana na mapendekezo ya sera zilizo za upinzani
Mkuu itapata wabunge kwa tume ipi? Kwann haikupata wabunge kwenye chaguzi ndogo za wabunge mf Kinondoni, Siha, Kakonko, n.k? Chadema inaweza isiwe na mbunge hata mmoja uchaguzi huu. Ndiyo maana kwa kuiona hatari hiyo wengi wanaunga juhudi.
 
Chadema inaenda kuchukua nchi. Amini maneno yangu. October serikali inaenda kuwa chini ya Chadema
Hahahahaha mara tukitambua hali ya upinzani ulivyo, ndio tutaanza kutafuta dawa ya kudumu ya kuiondoa CCM madarakani. Tujizuie kuishi kwa kujifurahisha wakati hali yetu sasa hivi ni ngumu saaaana.
 
CDM ni chama cha kitaifa...hakiwezi Kifa kijinga..
Ukitaka kuhakikisha kauli yangu nenda Lumumba kawaulize.....

Unazuia chama cha siasa miaka 5 kisifanye siasa, bado unasita na kufikiri labda uzuie mikutano ya kampeni pia kwa sababu ya
Corona.. unaona aibu...

mziki ni mnene!!
Acha uongo wewe nyie mujizuie wenyewe halafu mlalamikue CCM.
Kimpango wenu.
 
Hatma ya vyama vya upinzani inategemea watapata wabunge wangapi pamoja na % ya kura za urais ili ruzuku iwe ya maana sivyo watakuwa wamekalia kuti kavu. Chadema ambao walikuwa na wabunge wengi pamoja na kukomba kura karibi 30% na ushee sidhani kama watafanikiwa kupata walichopata 2015. October sio mbali kuna vyama vitakufa kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom