Uchaguzi 2020 Ya Membe na kina Zitto, mpango ni CHADEMA kife

Wajinga waache. Wamepata mabilioni ya pesa from 2015-2020 kama ruzuku. Hawakujenga hata ofisi za maana. Hawakujitangaza huko mashinani. Hawakudai Tume huru. Walipoambiwa hakuna siasa, wakaitika, "ndio mzee". Walikwishaambiwa na Jiwe tangu siku ya ufunguzi wa Bunge kuwa kulikuwa na lengo la kuwaua (Upinzani). Mbowe karidhika sana na cheo cha mkuu wa upinzani bungeni. Hana mpango wa kwenda zaidi ya hapo.
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.


Na Chadema kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.


...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.


Na Chadema kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.


...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.


Na Chadema kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.


...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!

Ndugu zangu chadema. nawapendeni sna lkn lazima muamke. Miaka 5 iliyopita seirkali ya mkuu wa kaya imekidhoofisha chama chenu kama kilivyokioofisha chama changu cha CUF ya asili. Sasa mika 5 hii ya huyu jamaa atakimaliza chama chenu kama kitakvyoandamwa cham changu cha ACT. Sasa chukueni hadhari ya ziada. wekeni mikakati ya kuimarisha chama. jamaa amekukalieni shingoni huyu mkuu wa kaya. Nawapenda chadema.
 
Ni vyema vyama hivi vikajiongeza na kutambua ktk sarafu kuna pande mbili. Ndani ya chama tawala kuna "fear of unknowns" kwa kuogopa "strong bond of opposition parties". Hawataki hilo litokee ndiyo maana tunaona sheria mpya zikitungwa ili kukwepa jambo hili

Sasa ni hiari ya vyama vya upinzani kukubali kuwa mateka wa "divide & rule" kwa ajili ya maslahi ya chama tawala. Mimi nasisitiza uwepo wa "synergy" ktk siasa za kimkakati ktk kukabiliana na CCM tuelekeapo uchaguzi wa mwaka huu.
 
Ya Mbowe na Lowasa mpango ulikua nini hasa? Hivi Chadema kwanini mnapenda kujipa ukiranja wa upinzani?
 
Ndio mnajua leo. Toka ishu ya Buzwagi Zitto akalambishwa chambi akapewa ajenda maalum kuua chama cha wachaga.
Membe nae anafanya kazi ya TISS.
Zitto mwishoni atanufaika na ruzuku.
Ndio mchezo ulivyo wenye akili tunajua.
 
Nyie watu muwe na akili basi japo hata kidogo. Dhumuni la Zitto ni kuimarisha chama chake na pia kuleta ushindani kwa CCM. Mpaka sasa wansiasa pekee ambao wanaweza kuleta changamoto kwa Mkulu uchaguzi wa October ni Lissu na Membe. Waliobaki wote waoga.
Zitto alikuwa na najua yupo tayari kuungana na CHADEMA iwapo watamsimamisha Lissu kugombea. Lakini mpaka sasa Lissu hatuna uhakika atarudi kweli au ndio yale yale ya mwaka jana. Je asiporudi itakuaje?
Kwa kuliona hilo ndio maana Zitto anaangalia plan B ya kumchukua Membe aongeze nguvu katika chama chake. TATIZO NI TUNDU LISSU HANA UHAKIKA WA KURUDI HUYU NDIO KIKWAZO KWA SASA KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS.
Acheni kumlaumu Zitto.
 
Bado naamini cdm kupata mbunge au diwani hata mmoja watakua wamejitahidi sana. Chama kikuu cha upinzani kinaenda kua act wazalendo. Mungu tupe uhai na afya njema tukutane baada ya uchaguzi .
 
Back
Top Bottom