Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

Mimi naona Mjengwa and all who are supporting him are beating about a bush. Tatizo mnalijua ila mnakataa kusema kuwa chuki dhidi ya Wakristo na ukristo haijaanza na uchomaji wa makanisa Zanzibar na juzi kule Mbagala. Limekuwepo na Waislamu wanaliendeleza kati na baina ya vizazi vyao hali mradi wapate pa kutua lawama za kuwa nyuma kielimu na kimaendeleo. Na ukitaka kuliona hilo ni jinsi Mwaislamu msomi na asiyewahi kuona kuta za madarasa wanavyo argue at par katika mambo yanayohusu wao kuwa nyuma kielimu. Niliwahi kumsikiliza wasomi wa kislamu wakichangia kuwa Waislamu wako nyuma kwa sababu hawapewi haki ya kujiunga na mashrika/taasisi za nje ili wapate misaada kama ilivyokuwa Wakristu. Mifano waliyoitoa kwa kweli inasikitisha sana maana inakuwa sio fair. Walipendekeza Tanzania ijitoe Commnwealth eti kwa sababu kiongozi wake ni yuleuyule ambaye ndiye mkuu wa Kanisa la Anglikana, wakataka Tanzania ifukuze ubalozi wa Vatican. Mwendesha kipindi aliwauliza je, Tanzania ifukuze tena mabalozi wa nchi ambazo zinajulikana zinaongozwa kidini kwa kutumia sharia the likes of Egypt, Pakistan, Iran, Iraq, Libya, Oman na nyinginezo. Hapo walikosa cha kujibu maana hawakuwa na point ya maana. Lakini walichokuwa wanasema wasomi hawa ndio hicho ambacho waisalmu wengi wamekuwa wanasema tena wale ambao hawana elimu na kile ambacho wasomi wanakisema. Hii inaonyesha kuwa kuna kasa watu wanalishwa na hiyo ndiyo inajenga chuki. Na viongozi wetu wanajua hivyo kuwa kuna sumu waisalmu wanalisha na kusababisha chuki katika jamii hizi ambazo zinaishi side by side lakini hawalikemei na wengine wanatuhumiwa kuwa ndio wachochaji.

Pili mihadhara ya kukashifiana imekuwa ni tatizo na ndio chanzo cha chuki hizi. Ilianza wakati wa awamu ya pili na ikatiliwa mbolea ikamea na kushamiri. Madhara yake ndio haya. Badala ya kuwafanya watu wakajua neno la Mungu imefanya dini kuwa ni chanzo cha mafarakano. Zimefuata radio na magazeti ya kidini. Yametia chumvi katika kidonda kibichi. Serikali zetu zimekuwa kimya. Kwa hiyo bw. Mjengwa pamoja maneno yako ya busara bado hutaki kusema nini chanzo cha uadui huu? Halafu tuambie na ujasiri wa mtoto alifunzwa na kukunzwa kwamba kitu hiki ni nyeti kama ilivyokuwa Kurani Tukufu, halafu mtoto huyu anayeheshimu sacred object anapeleka kitu hicho kuntishia mwingine kugeuka mjuzi. This is quite disgusting and hapo inabidi kama ndivyo wanavyofunsdishwa watoto wa Kiislamu basi iangaliwe kubadilisha mode of teaching ili content isiwe that much threatening maana kumbe anaona kitabu hicho halistahili heshima bali ni silaha ya kumtisha tena asiyekiamini. Mpeleka kitabu pamoja na yule aliyekikojelea wana makosa. Lakini aliyekikojelea hana makosa sana maana aliletewa kitu asichokiamni labda hajafundishwa kuwa ni kitakatifu. Hapa najua wengi watapinga lakini doctrines za Kikisto na Kiislamu ni tofauti
 
Mahatma Ghandi aliwahi kusema "Uhindu ni dini nzuri lakini wahindu ndio wabaya, Ukristu ni dini nzuri bali wakristu ndio wabaya, Uislamu ni dini nzuri bali waisilam ndio wabaya"! Mara nyingi mambo ya kipumbavu na kijinga ndivyo vinavyosababisha mtu, kikundi au nchi ikaingia katika matatizo au hata vita. Hili ni moja, so mimi sishangai kwa vurugu zilizotokana na korohan kukojolewa na kijana yule, kosa alilolifanya ni hatari mana ktk hali ya kawaida kwa umri wa mtoto huyo inaudhi endapo bado anakojoa kitandani kwake wakati amelala!

Pili, sikubaliani na Magid kwa hoja yake kwamba, vijana kutopata elimu Dunia ni chanzo cha wao kushiriki ktk vurugu. Kila leo tunasikia vurugu na uharibifu wa mali vyuo vikuu na taasisi za elimu, ni elimu ipi Magid anazungumzia?

Tatu, naamini uislamu sio dini ya vurugu bali waislamu. Na mwisho, niko kinyume na dhana inayozungumzwa kwamba Nyerere aliwaonea waislam au hakupenda waislamu wasome, uislam usienee au waislamu wasishike nafasi muhimu za uongozi ktk nchi hii!. Mifano ipo mingi sitaki niiseme hapa lakini labda kukumbushia tu, Nyerere bada ya kujengwa kwa kanisa kubwa la kisasa la Kanisa Katoliki pale Butiama, alitamka kwamba "sasa sisi tumepata papahala pa kuabudia lakini wenzetu bado ikiwa ni pamoja na waislam". Nyerere kwa maarifa yake aliomba ufadhili wa ujenzi wa masjid kubwa nzuri na ya kisasa. Nimalize kwa kusema, yote yatapita, busara ituongoze ktk hili na mengine yajayo!
 
Na jambo lingine, hivi inafanywa makusudi au ni bahati mbaya kuwa tumemuweka kando mtoto aliyetoa msahafu wa imani yake ili ukojolewe?! Yaani watu wengi humu wanadai na wanategemea kuwa 'mtoto huyo wa miaka 14' ajue umuhimu/upekee wa msahafu, lkn haohao hawagusii hata chembe huyu mtoto wa upande mwingine mwenye 'moyo' wa kutoa msahafu wake ukojolewe! Hawajiulizi huyu mtoto kafundishwa na nani hizo hadithi za uongo kuhusu msahafu wake! Kwanza huyu mtoto yuko wapi?! Au anapotezewa tu kwa sababu hila aliyotumwa kuifanya imewapa watu sababu ya kuvamia makanisa? Watu mnaotegemea 'mtoto huyo wa miaka 14' aelewe umuhimu wa q'uran mbona hamuoni umuhimu wa waislamu wa Mbagala tena watu wazima kujua kuwa kama huyo mtoto kwa mfano ni wa madhehebu ya Anglicana siyo sawa wala haki kwenda kuharibu na kuchoma majengo ya Wasabato au AGAPE??! Kwa nini mnataka huyu mtoto mmoja ajue yote kwa usahihi lkn waislamu tena watu wazima wasijue wala kujali lolote kuhusu Wakristo???
 
Rais Mkapa mkristo ( mkatoriki) alianza kuwapa chuo kikuu cha Morogoro Waislamu jambo ambalo Marais wengine wa Kiislamu hawakuwafanyia Waislamu wenzao. Hii ndio Tanzania tunayoipenda.

Hebu tafakari Nyerere aliwapa Waislamu kiwanja cha chang,ombe Dar es salaam kiwanja kikubwa ambacho Yusuf Manji (Mwislamu) kanunua kwa mambo yake binafsi. Kiwanja hicho kilikuwa kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha Kiislamu. Mgogoro kati ya Ponda na Bakwata ukaibuka ambapo Ponda anadai kiwanja hicho kirudi kwa Waislamu.

Je, waislamu wakiwa pekee Tanzania ndipo kutakuwa na amani????
Je, wakristo wakiwa peke yao Tanzania ndipo kutakuwa na amani???

Tafakari kisha chukua hatua za busara na hekima kuilinda nchi yako.
 
Ni vijana wanaopatikana wakati wowote na mahali popote. Hata jambo likianza saa tatu asubuhi wao wapo. Hawana ofisi wala bosi wa kumwomba ruhusa ya kwenda kuandamana na kurusha mawe. Ndio hawa wanaonekana wamevaa ' Kata kiuno' na wengi wao hawajahi hata kuingia misikitini au makanisani.

Inakuawaje kijana wa kweli wa Kiislamu achome kanisa na kuiba kompyuta. Inakuawaje kijana na muumini wa kweli wa Kiislamu aonekane saa mchana wa jua kali akivamia baa na kukimbia na kreti za bia? Ni maswali yanayotutaka tutafakari kwa makini.

Maana, ninavyoamini mimi, uchumi na elimu duni ndio hasa vinavyochochea vurugu za kijamii, iwe za kidini au kisiasa, na hususan inapohusisha vijana. Vijana wetu hawana misingi mizuri ya elimu, na wengi hawana ajira pia.



Kaka usipoteze mda wako kwa hili la waislam, nijuavyo mimi Muislam safi anajiuliza mswali kama wewe na mbaya zaidi wahusika wa fujo zitokeazo nchini kwetu kwa kisingizio cha dini wengi wao hata kufungua Computer hawajui huu ujumbe wako hawataupata maana ili uweze kuingia JF lazima uwe na ABC za computer kitu ambacho waswahili wengi wa style ile ya mbagala hawana, hata ukikaa nao vema ukawauliza maswali ya msingi kuhusiana na dini yao hawajui, mimi siwalaumu wao nawalaumu wazazi wao waliojikita kupeleka madrassa badala ya Elimu dunia na madrassa kwenyewe ni kama walienda kucheza tu, maana hakuna mahala ambapo uislamu unafundisha kuvunja baa nakuiba bia au kuvunja kanisa na kuiba vinanda
 
Tuache mafundisho ya uogo hayata tusaidia, watoto wanajaribu mafundisho yetu je yapo sawa? kumbuka kila fundisho litajaribiwa na kizazi hiki hivyo tuwe makini na mafundisho yetu. je huyu mtoto mkristo aliitoa wapi qurani?

hili ni swali ambalo hawatakaa wakujibu kamwe............
mbona hawazungumzii mtoto aliempa mwenzake quran akojeleee..........
je ndivyo watoto wa kiislamu wanavyofundishwa??????kuwa wawape watoto wenzao quran wakojoleeeee??????
je watoto wa kiislamu hawajafundishwa kuitetea quran isidhihakiwe.....??????au wamefundishwa kwenda kutoa taarifa tu
huyo mtoto angekuwa wa kwanza kutunza quran yake isidhihakiwe.........NA NYIE FUNDISHENI WATOTO WENU WASIWE CHANZO CHA QURAN kudhihakiwa
 
Wengi tumezungumzia koran iliyokojolewa kwenye utani wa kitoto.

Bibilia zikachanwa na makanisa yakachomwa moto kama njia ya kulipiza kisasi.

Matukio hayo yanatuonyesha kwamba vitabu vya dini mbili viliharibiwa lakini bado damu za Watanzania zina kiu ya vita.



Tunakwenda wapi.......... bye bye Tanzania............ Vita inakupenda zaidi.
 
Mkuu,




Tukirudi katika kosa la huyu kijana nakubaliana na mawazo ya maggid kuwa busara itumike. Kwani sidhani makanisa au misikiti inahusika na matendo ya wanaadamu. Vile vile serikali iende mbali zaidi kushughulikia grievance za waislamu kwani yanayotokea Nigeria hayakuanza leo wala jana bali ya muda mrefu. Kinawashinda nini kuanzisha committee hiyo na ikawayasikiliza manunguniko ya waislamu na ikayasikiliza manunguniko ya wakristo then wakawaomba watanzania watoe mashauriano ili ipatikane solution kusudi tuishi kwa amani? Hivi wewe unadhani hali hii kutumia vitisho na mikwala ndio solution? Kuwakamata na kuwafunga watu ndio solution just think yourself utafahamu kuwa ninachokisema kina mantiki.

Nadhani Mdondoaji unapoint hapa, binafsi sipendezwi na yanayoendelea huko Dar/Tz, hata hivyo ni ukweli kwamba serikali inabidi iingilie kati. Iingilie kati kutokana na yafuatayo:-

1. Nguvu za ki-ushindani wa nyanja zote(uchumi, siasa, utamaduni, ajira nk) duniani leo hii zinasimamiwa na Elimu. Ni elimu hiyo hiyo ndiyo inayoweza kutoa ishara ya Taifa/jamii flani itakavyokuwa katika kipindi flan kijacho. Sasa, tusirejee historia, tuanze hapa tulipo; turejee katika hali halisi kwa Tanzania, tuna shule (naomba niziweke katika namna tano) ; 1. Seminari za Kikiristo, Seminari za Kiislamu, Shule za Binafsi zisizo Seminari, shule za Serikali zenye performance afadhali( Mzumbe, Ilboru, Kibaha, nk) na shule za Serikali za Kata. katika matokeo yoyote ya Sekondari(O na A level, matokeo ya jumla yanaonyesha kuwa zaidi ya asilimi 90 ya shule za seminari za kikristo zinapata matokeo ya kuendelea hatua inayofuata ya masomo ilhali asilimia zaidi ya 90 ya seminari za kiislamu wanapata matokeo ya jumla yasiyo yenye kuendelea na hatua inayofuata. Vile kutokana na "historia" watoto wengi wa jamii za kiislam wanajiunga na shule za Kata au wazazi wao ima hawana uwezo wa kuwapeleka katika shule za binafsi kutokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya jamii ya kii-islam wana maisha yasiyowezesha kuwapeleka shule hizo,au wanahitaji government intervention ya kuwapeleka katika shule binafsi; most likely ratio ya <10:90> inaendelea. Kwa kuwa mfumo wa elimu wa sasa, ni market based system na wazi kuwa jamii moja imeshindwa kucheza na market-based system hii, kanuni za kiuchumi zinabainisha government intervention inapotokea market failure imetokea. (Naomba niseme kuwa kuna market failure katika mfumo wa elimu uliopo baina ya waislam na wakristo hivyo si suala tena la kusema 'wenyewe hawataki kusoma' bali Serikali iingilie kati kwa kukusudia kuiondoa hii 10% ya wakristo wanaobaki uraiani na kuipunguza hatimaye kuiondoa hii 90% ya waislam wanaobaki uraiani. Serikali pamoja jamii ya kikristo ifanye yafuatayo ili kusawazisha tofauti hizi.
1.Kuanzishwe "Islamic Society enhancement programme" inayolenga kuongeza idadi ya watoto wa jamii ya kiislam kupata elimu kwa kuimarisha uwezo wa Shule zao, maabara, na waalimu hata ikibidi kuongeza idadi ya shule hizo na kulipa mishahara ili kupata waalimu watakao-stabilize katika shule hizo.(nimesema jamii ya kikristo inabidi ikubaliane na hili kama intervention kwa market force imefail, hivyo wasomi wa kikristo walielewe hili).
2. Ufanyike utambuzi wa uwezo wa kitaaluma kwa watoto wote ambao ni kweli wako katika mazingira magumu then serikali i-subdize waweze kusoma katika shule either za seminari, binafsi au serikali zenye viwango vinavyoendana na uelewa wao
3. Serikali ipige marufuku tamaduni za kucheza ngoma na sherehe za kipuuzi za namna hiyo.
Nitaendelea.....
 
Angalia vita isivyo na macho Polisi aliyeuawawa Zanzibar ni Said ambaye ni wa dini ya Kiislamu.

Muhimu tukatafakari kama vita ya kidini itatuletea maendeleo au la
 
Mtoi na kundi lako, nadhani umemezeshwa propaganda zinazoenezwa na maadui juu ya lile tukio. Waislamu si wajinga kama mnavyotaka watu wafikri. Issue ni kuwa baada ya mama mmoja wa kiislamu kuripoti hii habari ya kokojelea masahafu kwa mama wa ' bedui'. Yule mama alijibu kwa jeuri 'si makaratasi tu hayo'

Hiki ndicho chanzo cha kadhia nzima ambacho watu hawataki kukizungumza badala yake wanalilia guitar na 'whisky' zilizomwagwa altereni!

Dharau za hawa ndugu zako hazivumiliki, hata humu JF unaona mwenyewe, wako hivyo!
Endelea nao, lakini ufahamu walivyo!

sasa naona umeamua kuja na edition mpya ya tukio baada ya kuona edition ya kwanza inawagaragaza!
 
Naomba nikusahihishe,

Nimesoma kwenye gazeti moja na kwa mujibu wa watu walioko huko huyo kijana alikuwa ana miaka 14. Hata kama ana miaka 12 ni umri ambao vijana wengi wanakuwa washabaleghe na hivyo anajua fika anachokifanya.

Pili unaposema yule mtoto wa kiislamu anavyosema kuwa akiichezea Quran atageuka kuwa kichaa binafsi naona huyu nae ana kosa but haliko sawa na kukojolea Quran. Labda angelikuwa huyu kijana amekojolea biblia ningelikubaliana na wewe maana huwezi kuwa imani thabiti ya uislamu hadi uamini vitabu vyote vinne na biblia na quran ni mojawapo ya vitabu hivyo. Hivyo sikubaliani na wewe waadhibiwe sawa kwani mmoja amefanya mzaha na Quran na mwengine amekashifu Quran. Hawa wana adhabu mbili tofauti.

Kuhusu ghasia ninachokiona mie siamini hawa waislamu wanaoandamana au kufanya wengi ni waislamu bali ni wahuni na wasio na ustaarabu. Hata hivyo inawezekana baadhi yao ni waislamu na ukiangalia zaidi ni ufukara na chuki ya muda mrefu dhidi ya ndugu zetu wakristo ndio imepelekea hivi. Kwani wasichome masinagogi ya wahindi kule Temeke? Kwanini wasiharibu miti ya ibada ya wapagani bali wameenda makanisani? Haujiulizi why?

correct me if am wrong.........so walipata sababu ya kwenda kuchoma makanisa...
vp kijana alietoa kitabu kitukufu cha Mungu Quran na kumpa mwenza akojoleee?????uislamu unasemaje juu ya hili???
na mtoto alikojolea angekuwa mhindi je?????wangeenda kuchoma nyumba za ibada za wahindi???
 
Ndugu zangu,

Moja ya hadithi za Mtume Muhammad S.A. W ni pale Mtume Muhammad alipokuwa msikitini na maswahaba wake. Mara akaingia msikitini mtu wa kabila la Mabedui na kuanza kukojoa. Maswahaba wa Mtume wakasimama kwa hamaki kutaka kumwadhibu Bedui yule.

Mtume akawasihi maswahaba wake wasifanye jambo lolote litakalomdhuru Bedui yule. Hapo ikavutwa subira. Bedui yule akakojoa na akamaliza. Mtume Muhammad alipomuhoji Bedui yule ikabainika kuwa alikuwa ni mtu wa hovyo na wala hakujua kuwa alimokuwa ni msikitini. Bedui yule akaelimishwa, akaelewa. Akarudi kwenye ustaarabu.

Ndio mkojo ule ulifutwa kwa maji na amani ikawepo. Wahenga walinena; Subira yavuta heri. Siku zote, hamaki si jambo jema. Kwa kutanguliza subira na kutumia hekima Mtume Muhammad aliivuta heri na kuepusha shari.

Maana, kama Mtume alisingewaasa maswahaba wake kuvuta subira, basi, makubwa matatu yangetokea ndani ya msikiti ule; Mosi, zingezuka vurugu na watu kuumizana na hata kutoana roho. Pili, mkojo wa Bedui yule ungesambaa msikitini kwa vile alishaanza kukojoa na isingekuwa rahisi kwake kukatisha mkojo wake. Tatu, Mkojo una madhara ya kiafya pia.

Naam, kwa mwanadamu, ni muhimu kuwa na subra na kutafakari kabla ya kufanya maamuzi. Kwa ndugu zangu Waislamu, tunaona Mtume Muhammad ameweza kuonyesha hilo. Na kwa ndugu zangu Wakristo, kuna mifano pia ya Yesu Kristo kuonyesha subra.

Ndio, Uislamu, kama ilivyo kwa Ukristo na dini nyingi za humu duniani, msingi wake ni amani na upendo. Kitendo cha mtoto yule wa Mbagala kukojolea korani kitazamwe kwa sura ya kitendo kilichofanywa na mtoto .

Na kama ilivyokuwa kwa Bedui yule, kama pale Mbagala subira na hekima vingetangulizwa, basi, yumkini tungebaini kuwa mtoto yule hakujua madhara ya kitendo chake. Naye angekanywa kama tuwakanyavyo watoto wetu. Na hata kitendo hicho kingefanywa na mtu mzima, bado tulikuwa na haja ya kutanguliza subira na hekima kumhoji aliyetenda, yaweza akawa kama Bedui yule kwenye msikiti alimosali Mtume na maswahaba wake.

Na kwa kuangalia picha zile za Mbagala naiona hatari iliyopo sasa, kuwa tuna vijana wengi wasio na kazi; Wakristo kwa Waislamu. Vijana wasio na dogo. Ni kama moto uliofifia. Akipatikana kwa kuchochea kuni wanalipuka.

Ni vijana wanaopatikana wakati wowote na mahali popote. Hata jambo likianza saa tatu asubuhi wao wapo. Hawana ofisi wala bosi wa kumwomba ruhusa ya kwenda kuandamana na kurusha mawe. Ndio hawa wanaonekana wamevaa ' Kata kiuno' na wengi wao hawajahi hata kuingia misikitini au makanisani.

Inakuawaje kijana wa kweli wa Kiislamu achome kanisa na kuiba kompyuta. Inakuawaje kijana na muumini wa kweli wa Kiislamu aonekane saa mchana wa jua kali akivamia baa na kukimbia na kreti za bia? Ni maswali yanayotutaka tutafakari kwa makini.

Maana, ninavyoamini mimi, uchumi na elimu duni ndio hasa vinavyochochea vurugu za kijamii, iwe za kidini au kisiasa, na hususan inapohusisha vijana. Vijana wetu hawana misingi mizuri ya elimu, na wengi hawana ajira pia. Haya ni sawa na makombora yasiyo na gharama kubwa kuweza kutumiwa na wanasiasa wasio waadilifu na hata viongozi wa kidini wenye mitazamo mikali. Ni makombora yaliyoanza kutulipukia. Tuliziona ishara, tukazipuuzia.

Leo Kuna vijana watakaotumiwa au kutumia fursa hiyo kutenda maovu kwa kisingizio cha dini. Ni hawa wataoshiriki kuchafua taswira za dini husika pia. Tujiadhari, kabla ya hatari kubwa inayotujia. Hatujachelewa.

Na hilo ni Neno La Leo.

Maggid Mjengwa,

Iringa.

0788 111 765

Maggid umeandika vizuri sana, ni makala yenye mafunzo mazuri sana na ni rejea nzuri kwa wote wenye mhemko wa kufanya fujo zisizo na msingi. Maggid umetimiza wajibu wako wenye masikio wamesikia wenye macho wameona. Najua utapingwa sana na waislamu wote ambao wamemkabidhi sheik ponda jukumu la kufikiri kwa niaba yao na wao kubaki na jukumu moja tu la kutekeleza kila wanaloagizwa na huyo Ponda.

Ni vema vijana wasomi wa kiislamu wajiunge katika vikundi vya kitaaluma si taalauma za kidini bali elimu dunia ili kuweza kutoa mchango wao katika kubadilisha mtazamo wa wahafidhina wa kiislamu ambao wanaendelea kujidanganya kuwa kuna siku nchi hii itakuja ongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni za dini yoyote ikiwemo uislamu. Vijana wasomi wa kiislamu watoke huko walikojificha na kusaidia kurekebisha hali hii kwani nchi yetu inapita katika kipindi kigumu sana. Inakojolewa korani majibu yake kuchomwa makanisa bila kuwepo ushahidi wowote kuwa aliyekojolea korani aliagizwa na kanisa kufanya hivyo.

Msingi mkubwa wa matatizo haya ni ukosefu wa elimu, naaminikuna vijana wengi tu wasomi wa kiislamu ambao wanaweza kusaidia kurekebisha hali hii. Watanzania wote tunategemeana bila kujali imani zetu, hivyo tuepuke kutekeleza maagizo na maelekezo hatari kutoka kwa viongozi wetu wa kidini ambao tunahisi wana malengo mabaya na nchi hii.
 
Nadhani Mdondoaji unapoint hapa, binafsi sipendezwi na yanayoendelea huko Dar/Tz, hata hivyo ni ukweli kwamba serikali inabidi iingilie kati. Iingilie kati kutokana na yafuatayo:-

1. Nguvu za ki-ushindani wa nyanja zote(uchumi, siasa, utamaduni, ajira nk) duniani leo hii zinasimamiwa na Elimu. Ni elimu hiyo hiyo ndiyo inayoweza kutoa ishara ya Taifa/jamii flani itakavyokuwa katika kipindi flan kijacho. Sasa, tusirejee historia, tuanze hapa tulipo; turejee katika hali halisi kwa Tanzania, tuna shule (naomba niziweke katika namna tano) ; 1. Seminari za Kikiristo, Seminari za Kiislamu, Shule za Binafsi zisizo Seminari, shule za Serikali zenye performance afadhali( Mzumbe, Ilboru, Kibaha, nk) na shule za Serikali za Kata. katika matokeo yoyote ya Sekondari(O na A level, matokeo ya jumla yanaonyesha kuwa zaidi ya asilimi 90 ya shule za seminari za kikristo zinapata matokeo ya kuendelea hatua inayofuata ya masomo ilhali asilimia zaidi ya 90 ya seminari za kiislamu wanapata matokeo ya jumla yasiyo yenye kuendelea na hatua inayofuata. Vile kutokana na "historia" watoto wengi wa jamii za kiislam wanajiunga na shule za Kata au wazazi wao ima hawana uwezo wa kuwapeleka katika shule za binafsi kutokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya jamii ya kii-islam wana maisha yasiyowezesha kuwapeleka shule hizo,au wanahitaji government intervention ya kuwapeleka katika shule binafsi; most likely ratio ya <10:90> inaendelea. Kwa kuwa mfumo wa elimu wa sasa, ni market based system na wazi kuwa jamii moja imeshindwa kucheza na market-based system hii, kanuni za kiuchumi zinabainisha government intervention inapotokea market failure imetokea. (Naomba niseme kuwa kuna market failure katika mfumo wa elimu uliopo baina ya waislam na wakristo hivyo si suala tena la kusema 'wenyewe hawataki kusoma' bali Serikali iingilie kati kwa kukusudia kuiondoa hii 10% ya wakristo wanaobaki uraiani na kuipunguza hatimaye kuiondoa hii 90% ya waislam wanaobaki uraiani. Serikali pamoja jamii ya kikristo ifanye yafuatayo ili kusawazisha tofauti hizi.
1.Kuanzishwe "Islamic Society enhancement programme" inayolenga kuongeza idadi ya watoto wa jamii ya kiislam kupata elimu kwa kuimarisha uwezo wa Shule zao, maabara, na waalimu hata ikibidi kuongeza idadi ya shule hizo na kulipa mishahara ili kupata waalimu watakao-stabilize katika shule hizo.(nimesema jamii ya kikristo inabidi ikubaliane na hili kama intervention kwa market force imefail, hivyo wasomi wa kikristo walielewe hili).
2. Ufanyike utambuzi wa uwezo wa kitaaluma kwa watoto wote ambao ni kweli wako katika mazingira magumu then serikali i-subdize waweze kusoma katika shule either za seminari, binafsi au serikali zenye viwango vinavyoendana na uelewa wao
3. Serikali ipige marufuku tamaduni za kucheza ngoma na sherehe za kipuuzi za namna hiyo.
Nitaendelea.....

Darasa la Shule binafsi anayosoma mwanangu garade 2 lina wanafunzi 30 ndani ya darasa hili kuwa watoto wa kiislamu 2 tu sijui ni kwa nini. Hii ni shule binafsi na hakika najibana sana kumlipia karo. Kuna siku nilijaribu kumtania mwalimu wake mkuu kama shule inabagua Waislamu kwa kumtolea mfano wa darasa la mwanangu akasema hapana na akaongeza kwamba kama kuna mwislamu alibaguliwa na shule yake anaomba waonane naye.

baada ya miaka 20 watoto wa kikristo watakuwa mbele kuliko waislamu kutoka darasa hili.

Hivi sasa shule binafsi ndizo ziko mbele katika kutoa elimu bora kuliko za serikali na huko hatuwezi kusema wakristo na waislamu wawe nusu kwa nusu bali wao wanajali karo za shule ( school fees) na shule binafsi ndizo nyingi zaidi.

Tutafakari ni kwa kiwango kipi serikali inatoa elimu kwa wananchi wake? shule nyingi ni binafsi.
 
Hapana sikubaliani na wale wote wanaosema wale wafanya fujo ni wahuni tu na siyo waislamu
1.Je kwanini ponda alitoka kuunga mkono kitendo kile?
2.kwanini walipoona walikuwa wanakimbilia msikitini?
3.kwanini waumini wanahamasishana waandamane ili hao wahuni waachiwe?
Tusitake kupoza mambo ili kuwaplease watu fulani hapa, kama kuna waislamu wamekosea waambuwe na waadhibiwe kutokana na taratibu za nchi, dini usiwe kichaka cha kutenda maovu alafu waangaliwe tu
 
Maggid,

Waislamu wengi wanaamini Nyerere alitumika kuukandamiza uislamu (refer to Mohamed Said books). Vile vile baadhi ya mambo yanayofanywa na wakristo kukandamiza waislamu mfano wanapokejeli ati wao wamepeleka mwanzo MOU wakati sio kweli waislamu walipeleka mwanzo MOU ikapigwa chini (refer to Mohamed Said books), kunapelekea kuona waislamu wanaonewa.
Tukirejea suala la huyu kijana nadhani maggid you are misleading kwa sababu huyu ni kijana wa miaka 14 (inamaana ana fahamu zake na akili timamu kwasababu umri huo mara nyingi vijana wa kiume wanabelehe) hivyo basi anajua fika kitu anachokifanya na kwanini anafanya.

1. kuhusu Nyerere kutumika kuukandamiza uislam nina sababu lukuki zinazopinga dhana hiyo hasa kwa kuangalia maamuzi,matendo na kauli zake, jambo hili naliweka akiba kwa kuwa naandaa makala yake maalum nitakayoiweka humu jamvini siku zijazo.
2. Kuhusu MOU na reference yako kwa mohamed said nakushauri urejee hotuba ya rais kikwete kwenye baraza la idi dodoma katika msikiti wa gadafi, alitoa ufafanuzi mzuri kuhusu MOU ambao labda wewe na wengine kwa makusudi au ugumu wa kuelewa hamtaki kuafiki, kwa kifupi suala la kupata MOU haihusiani na nani kawahi kupeleka maombi au kupendelea kundi fulani bali ni kukidhi vigezo ambavyo viko bayana!! na vilevile upime kati ya rais wa nchi jakaya kikwete(muislam) na mohamed said ni nani yuko kwenye nafasi nzuri kutoa maelezo fasaha!!
3. Kuhusu aliyekojolea quran, kigezo kinachotumika kama ni mtoto au la si kwa kuangalia mtazamo wa mtu binafsi au mtazamo wa imani au jamii fulani bali ni kwa mujibu wa sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania, je sheria za JMT zinatoa tafsiri gani kuhusu umri wa mtoto!!?
 
Mtoi na kundi lako, nadhani umemezeshwa propaganda zinazoenezwa na maadui juu ya lile tukio. Waislamu si wajinga kama mnavyotaka watu wafikri. Issue ni kuwa baada ya mama mmoja wa kiislamu kuripoti hii habari ya kokojelea masahafu kwa mama wa ' bedui'. Yule mama alijibu kwa jeuri 'si makaratasi tu hayo'

Hiki ndicho chanzo cha kadhia nzima ambacho watu hawataki kukizungumza badala yake wanalilia guitar na 'whisky' zilizomwagwa altereni!

Dharau za hawa ndugu zako hazivumiliki, hata humu JF unaona mwenyewe, wako hivyo!
Endelea nao, lakini ufahamu walivyo!

Kwa hiyo hayo makanisa yaliyochomwa yanahusiana vipi na huyo mtoto na mama yake? Tatizo lako inferiority complex. Nikwambie kitu, ukiristu sio majengo ni imani. Hata kwenye mti watu wanasali
 
Wengi tumezungumzia koran iliyokojolewa kwenye utani wa kitoto.

Bibilia zikachanwa na makanisa yakachomwa moto kama njia ya kulipiza kisasi.

Matukio hayo yanatuonyesha kwamba vitabu vya dini mbili viliharibiwa lakini bado damu za Watanzania zina kiu ya vita.



Tunakwenda wapi.......... bye bye Tanzania............ Vita inakupenda zaidi.

si hivyo tu, kama uliangalia vizuri uharibifu uliofanywa na waislam kwenye makanisa pamoja na mambo mengine walichana biblia na vitabu vingine vya kikristo lakini husikii ikizungumziwa!!
 
kwa hiyo huko Pakistani, Afghanistani, Sudan, Somali, Mombasa, na kwingineko wote wanalalamikia MOU? Ni kasumba yenu kulalamika. Lakini cha ajabu ukienda kwenye nchi mnazo zilalamikia kama Marekani, Uingereza, Italy, Germny, na zingine nyingi za kikiristo waislamu wamejaa na wanafurahia utulivu wa nchi hizo. Shame on you
 
Ni kweli hilo ni kundi la watu wachache linalotumia mgongo wa dini? Kweli ni wachache? Nadhani wale wasiopenda vurugu ndio wachache. Kwa ufupi majority of muslims wanapenda vurugu za kijinga kabisa! Nadhani kuna matatizo fulani kwenye maandiko ya quran. Haiwezekani waisilamu msome quran moja, halafu wengi wasielewe ila wachache waelewe. Hebu fanyieni edition hiyo quran vizazi vijavyo vya kiisilamu vijifunze mambo mazuri
 
Maggid,

As much as I agree na unachokizungumza pia uelewa yule Bedui alikuwa amelewa. Hivyo basi hujaelezea uhalisia wa jambo lilivyokuwa. Binafsi yangu I do not believe in violence but rather busara na hekima. Ndio maana nasema hivi suala la waislamu na wakristo ni vema likaangaliwa kwa macho mawili na uangalifu mkubwa. Niliwahi kushauri zamani kuwa iwepo TRUTH AND RECONCILIATION COMMITTEE. Watu wakanibeza but ukweli wa mambo ni kwamba waislamu wana joto lao moyoni linawauma. Waislamu wengi wanaamini Nyerere alitumika kuukandamiza uislamu (refer to Mohamed Said books). Vile vile baadhi ya mambo yanayofanywa na wakristo kukandamiza waislamu mfano wanapokejeli ati wao wamepeleka mwanzo MOU wakati sio kweli waislamu walipeleka mwanzo MOU ikapigwa chini (refer to Mohamed Said books), kunapelekea kuona waislamu wanaonewa.

Tukirejea suala la huyu kijana nadhani maggid you are misleading kwa sababu huyu ni kijana wa miaka 14 (inamaana ana fahamu zake na akili timamu kwasababu umri huo mara nyingi vijana wa kiume wanabelehe) hivyo basi anajua fika kitu anachokifanya na kwanini anafanya. Usimfananishe na mtoto wa miaka 7 ambaye hata kuoga hajui. Hapo Maggid unakosea. Vile vile mtume alitumia busara kuwaambia masahaba wamuachie yule bedui kwasababu alikuwa kwanza amelewa na pili hajui anafanya nini. Kisheria tunasema he is in the state of unsound mind. Hata kwenye macho ya kisheria ukiuwa katika hali hiyo unakuwa unapewa punishment pungufu kwasababu wanachukulia hukuwa unafahamu unachokifanya. Sasa huyu kijana alikuwa anajua fika analolifanya na sio kuwa alikuwa amelewa au hafahamu.

Hivyo nakushauri siku nyengine unapogusa suala la waislamu kuwa na ufahamu kidogo wa kitu unachokizungumzia. Yes hekima na busara ni muhimu katika jambo hili but GET YOUR FACTS RIGHT !!!!!

Nilikuwapo!!!!
Sometimes tuwe tuna reason, hivi mie kuwa na miaka arobaini na familia ndio kuwa na akili timamu? Inawezekana mie ni mwendawazimu au nimekula ndumu, sitaki kuwabishia wale waliofanya walichokifanya, maana tumeona wamechoma nyumba za ibada na kuondoka na vifaa walivyoweza kuchukua, sitaki kuamini wameenda kuviuza ili kununua juzuu mpya. Read between the lines bro, Mungu haitaji mwanadamu ampiganie unless otherwise.
 
Back
Top Bottom