Kiungani
JF-Expert Member
- Feb 2, 2007
- 274
- 71
Habari zinazozunguka kichinichini Magogoni na Central ni kuwa kuugua kwa ghafla kwa Manumba kuna ukaribu mkubwa na masuala aidha ya madawa ya kulevya, meno ya tembo/vifaru au Ulimboka. Nyepesi zinasema kuwa kabla hajaugua ghafla (Malaria ya siku mbili hadi ICU), alipitia baadhi ya taarifa zinazogusa upelelezi wa siri (status updates) wa masuala hayo.
Inasemekana kuwa mmoja wa vijana wake kikazi naye ana wasi wasi maana alim-feed Mzee updates fulani fulani.
Niliulizwa nishawahi kuona malaria ikampelekeka mtu ICU Aga Khan halafu haelekei kutoka?
Napotelea kwetu kiungani, mjini hatari.