Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,988
- 27,925
Boss lady asikurupuke, chonde Chonde, vijana wenye papara viburi ni shida, Yapo yanayohitaji hekima, na wakati mwingine kuishi kwingi kuona mengi, kuachia ngazi kwa chongolo isichukuliwe kirahisi rahisi, kuna tatizo kubwa!Wanaotumiwa na mafisadi wamepambana sana kumshauri boss lady eti asimpe kijiti bwana mdogo na ambakishe palepale alipomteua siku chache zilizopita na huku wakimpigia debe kijana wao mwenye jina la mtoto wa Yoseph ili awe.
Hali kadhalika, wenye mlengo wa kulia wamemshauri boss lady amrejeshe mu-cubya ili kwalo aje awe boss wa Sekretalieti. Na kwa ushirikiano wa Yeye na Mwenezi, wanaamini Chama kitapaa juu mawinguni kwa kuaminiwa tena na Wananchi.
VC hamtaki yule mlima nyanya! Na akaenda mbali zaidi, eti, yupo tayari akalee wajukuu kuliko kufanya kazi na vijana wenye viburi. Mlengo wa kulia wakamuuliza, vijana ama kijana? Na kama ni vijana, je, na yupi mwingine!? Jibu lake akaishia kuguna pekee!
"....wazee wangu na wana MCC wenzangu nimewasikia. Na acheni nami na wenzangu wanaonishauri mambo ya siasa, tukalipitie." Jibu la boss lady.
Nb: Mradi wa mama bado chaji inasoma 90%.
Acha ndoto za kibwegeCCM anguko lenu linakaribia. 2025 hata siyo mbali.
Acha ujinga we bwege. Shujaa wa taifa ni shetani?Shetani ni lazima adhihakiwe.
Mkuu, Umesikia habari za Bollen Ngeti huko?CCM haiwezi kuanguka. Maana hakuna mbadala.
Sema uhai damu mbona washazoea!Hii nafasi ya km itatoa mtu damu
Wewe ndiyo utakuwa bwege wa mwisho hapa duniani, kwa kuamini eti hicho kikundi chenu haram hakiwezi kufa.Acha ndoto za kibwege
Mcuba namkubali sana. Wasiomjua wakawaulize Amina Mbowe na wenzie.No yaliosemwa kwa code hapo ni muhim pia ukubal ukatae ndio yana endesha uchum wako. Mu cubya ni fit sana ila nae ni mtata ila very strategically acha siasa iendeshe
Slow slowMu Cubya ni nani mkuu?
Unauliza hirizi Tanga?Acha ujinga we bwege. Shujaa wa taifa ni shetani?
Kama ambavyo wewe ukufa 2015v ila unaweza ukafa 2025.acha kukariri maisha.Uko mbele ni kugumu kuliko tulikotoka.Mambo yanabadilika kila siku.Isisqmbaratike mwaka 2015,ije isambaratike leo!CCM bado wapo sana madarakani!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ndo nani?Mkuu, Umesikia habari za Bollen Ngeti huko?
Kwani wewe kwenye huo uchawa wako unawaza nini cha maana cha kuleta maendeleo? Chawa akiwaza maendeleo wenye vichwa vizima watawaza nini sasa?Badala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!
Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.
Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.
Toka aje DAB analialia tu humuDuh! Sasa kama vyeo na madaraka siyo components za siasa, siasa ni nini sasa? We umekuwaje toka aje kijana Konda?
Tangu aje Makonda,amekondaLord denning ni kama unapitia wakati mgumu sana. Kuna kipindi ulifurahi sana. Siasa zina disappointments nyingi.
Nakumbuka mwanzoni kabisa baada ya Magufuli kuondoka.Huyu mama inawezekana alikuwa most underrated alafu ndio akaja kuangusha manguli na experience zao.
Kama naanza kuelewa moves zake! Midas touch!
Kadri siku zinavyosogea mama anazidi kupotea. Mark this word.Nakumbuka mwanzoni kabisa baada ya Magufuli kuondoka.
Kuna mtu akaniambia hii watu kuacha wafanye wanavyotaka ni mtego ambao utaondoka na wengi.